dstv na ujio wa gotv

emike

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
345
Reaction score
109
leo hii saa 2 usiku tbc news kipindi cha biashara maofisa wa dstv wametangaza rasmi nia ya kampuni yao kuanzisha huduma ya gotv ya dvb t kama hii ya star tv yaani unakua na receiver na antenna ndogo kama za startimes na waliahidi kwamba bei itapungua, lakini furaha yangu ilikatizwa baada ya ku google gotv ya kenya na uganda hizo channels!!!!hembu na nyinyi pitieni mchangie
 
Channel gani imekufurahisha hapo? DSTV ina exclusive rights za ligi nyingi za soka kwa sub-sahara, hana mpinzani kwa kweli.
 
Kweli! Programme line up ya startimes kenya afadhali sana kuliko gotv. Mfano league ya uingereza unapata baadhi ya game live pamoja na uefa kupitia kiss tv ambayo ni mojawapo ya channels za startimes KE.
 
mimina hizo ch. hapa tupate kuziona kisha tuweze kuchangia mada?
 
Kwa mtazamo wangu sijaona kama wakileta Gotv Tanzania itakuwa bora kuliko Zuku.Maana nimepitia Gotv Kenya na Gotv Uganda hakuna cha maana sana nilichoona pale.Nigeombwa ushauri ningesema badala ya kuleta hiyo Terresterial transmision wangeboresha tu, kwa kuongeza local channels kwenye, vifurushi vile vile vya king'amuzi chao cha sasa.Kwa mfano Access,Family na hata Compact vyote ni affordable.
 
Tuongee Asubuhi star tv live manager mawasiliano TCRA Innocent Mungiy vingamuzi vya DVB T1 vipo na vinatumika! Tanzania basi beyond repair.
 
Tuongee Asubuhi star tv live manager mawasiliano TCRA Innocent Mungiy vingamuzi vya DVB T1 vipo na vinatumika! Tanzania basi beyond repair.

Mkuu hivyo ndivyo wanavyotumia Startimes na baadhi kwa TING.Na hata Basic Transmition wanaokuja watabadilisha tu kidogo,yaani hapo kwenye T1 wao vya kwao ni T2,kifupi napo hakuna jipya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…