karugila JF-Expert Member Joined Nov 6, 2014 Posts 1,275 Reaction score 687 Dec 28, 2015 #1 Haiwezekani leo zinacheza mechi nyingi za epl msituonyeshe hata moja kwa wale wa select 1 and select 2
Haiwezekani leo zinacheza mechi nyingi za epl msituonyeshe hata moja kwa wale wa select 1 and select 2
bukoba boy JF-Expert Member Joined Jan 15, 2015 Posts 5,374 Reaction score 3,972 Dec 28, 2015 #3 karugila said: Haiwezekani leo zinacheza mechi nyingi za epl msituonyeshe hata moja kwa wale wa select 1 and select 2 Click to expand... Si uangalie telemundo mkuu?
karugila said: Haiwezekani leo zinacheza mechi nyingi za epl msituonyeshe hata moja kwa wale wa select 1 and select 2 Click to expand... Si uangalie telemundo mkuu?
karugila JF-Expert Member Joined Nov 6, 2014 Posts 1,275 Reaction score 687 Dec 28, 2015 Thread starter #4 Mi nataka mpira .wabadilike inawezekana kabisa mtu ukachagua channel unazozitaka mfano mi wanipe hata channel 4 za mpira kuliko kunijazia machannel kiba ambayo hata siyaangalii
Mi nataka mpira .wabadilike inawezekana kabisa mtu ukachagua channel unazozitaka mfano mi wanipe hata channel 4 za mpira kuliko kunijazia machannel kiba ambayo hata siyaangalii
G ghona18 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 572 Reaction score 331 Dec 29, 2015 #5 Hawa nao ni jipu
mzurimie JF-Expert Member Joined Oct 16, 2011 Posts 6,143 Reaction score 3,626 Dec 29, 2015 #6 Nchi nyingi ndio hivyo ukipenda mamuvi na maspoti lazima pesa zaidi ikutoke Cha kuepeuka hayo ni kuweka yale ya kama bure kuna uzi humu jf watu wanaelezana mengi tu popote ulipo duniani kila kitu kinawezekana.
Nchi nyingi ndio hivyo ukipenda mamuvi na maspoti lazima pesa zaidi ikutoke Cha kuepeuka hayo ni kuweka yale ya kama bure kuna uzi humu jf watu wanaelezana mengi tu popote ulipo duniani kila kitu kinawezekana.