DSTV message '7 days to go' appeared on top right side. OOOO Gosh

DSTV message '7 days to go' appeared on top right side. OOOO Gosh

DARKMAN

Senior Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
122
Reaction score
86
Nimeshangaa kukuta hadi kwenye king'amuzi cha DSTV wameadika 7 days to go pale juu kulia. Ina maana hao dstv nao wanaamini mwisho wa dunia ni tar. 21/12. mbona wanatutumia msg tukalipie hadi mwakani?
 
wameandikaje labda wewe utakuwa umewaza vingine kumbe, 7 days to go to dstv offices to pay your bills.
 
Wazee leo tokea asubuhi katika king'amuzi cha dstv kimekuwa kikionyesha hii message ya '7 days to go' tokea asubuhi. Hivi dstv wanaeneza hofu kuwa mwisho wa dunia ni tar.21/12 wakati nchi zingine zinajitahidi kuzima huo uvumi, hapa kwetu kuna mjinga kaajiriwa pale dstv ameamua kuweka hiyo message akifikiri ni mchezo wakati manunda wengine wameshaanza kujiua huko ugaibuni, wengine wameenda kujificha mapangoni na kujikusanyia chakula.

DSTV acheni huo ujinga, au kwa sababu hapa bongo hakuna chombo kinachowasimamia nyie(TCRA dhaifu). wenzenu ma DJ wa australia walimpigia yule nesi wa cate si mnajua kilichotokea
 
Mkuu labda wenyewe wanamaana tofauti na wewe ulivyotafsiri?kwa mfano labda wanamaana zimebaki siku saba kabla ya air time yako kuisha!!
 
Be carefully no longer we shall see our saviour in the midst of the clouds keep praying
 
no ni channel ya national geographic wameweka countdown to 21 dec, ile ni channel inayotoa mawazo yake so its p to you kuamini au la!!! ni count down ya to end of the day!!!!
 
Back
Top Bottom