dstv kwenye nokia E5

habyz

Member
Sep 13, 2010
9
0
habari wakuu,nina simu ya nokia E5 ambayo ina 3g.. Nimeinstall aljazeera live kutoka kwenye opera na ninaweza ku watch aljazeera headlines za kila siku.. Sasa nimeinstall na dstv lakini kila nikiselect chanell ili niifungue napata msg kuwa the service is not available in ur country or contact ur service provider.. Je kitu ambacho vodacom wanatakiwa kukiconnect kwenye simu niende?
 

e2themiza

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
974
562
ok kwa mawazo ya haraka nikwamba wanasoma ip yako na kama kwl ni voda tz ndo unapata access. Umefungulia opera ndo maana kwasababu ukifungulia apo hutumie tena ip address inayotakiwa ili uweze kupata access. Chakufanya ifungue iyo website kwny normal browser ya simu.
 

ARV

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
3,366
3,057
Hata mi hilo tatizo lilishanikumba kwenye cm yangu,nikawapigia voda wakaniambia nokia ni ngumu ku-install automatic, wakaniambie niende kwenye vodashop wataniwekea manually,mpaka leo sijaenda..sijapata muda.labda nenda vodashop wataweza kukusaidia.

habari wakuu,nina simu ya nokia e5 ambayo ina 3g.. Nimeinstall aljazeera live kutoka kwenye opera na ninaweza ku watch aljazeera headlines za kila siku.. Sasa nimeinstall na dstv lakini kila nikiselect chanell ili niifungue napata msg kuwa the service is not available in ur country or contact ur service provider.. Je kitu ambacho vodacom wanatakiwa kukiconnect kwenye simu niende?
 

habyz

Member
Sep 13, 2010
9
0
aisee nimeshindwa kabisa. Ni njia gani nyingine ya kubrowse maana mi huwa natumia opera tu kwenye simu, jamani wenye nokia E5 nisaidieni,jinsi ya kubrowse kama hutumii opera
 

e2themiza

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
974
562
aisee nimeshindwa kabisa. Ni njia gani nyingine ya kubrowse maana mi huwa natumia opera tu kwenye simu, jamani wenye nokia E5 nisaidieni,jinsi ya kubrowse kama hutumii opera
ukishikilia 0 kwny keypad zake bdo inafunguka opera?
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
27,652
31,078
ili uangalie streaming kama dstv ya simu watakiwe uwe na media player ie real player then wafungua browser ya simu original then waenda get.dstvmobile.mobi au pitia wap.vodacom.co.tz pia sio mbaya

Kama ni siku ya kwanza kuna kama kasurvey sjui ka fomu kale utajaza then uta access.

Kwa kuwapa tips tu pindi ukianza kustream waweza ukastop then ukabonyeza option then details utakuta link inaanza na rstp:// ukiisave hio unaweza kuangalia next time na mtandao wowote hata tigo au airtel

Kaka nokia e5 i believe ni kama e72 au e71 au e6 nokia yenye button nyingi a-z bila kutenganishwa ni s60v3 kama nyengine so web browser ya simu inayo sasa we bonyeza menu then angalia neno web au internet au service basi ndo hapo hapo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom