DSTV kwanini hamuonyesi channel yeyote ya Urusi?

kendy

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
296
564
Wasalaam,

Wafuatiliaji wa ving'amuzi naomba kujua ni kwanini DSTV hawaoneshi channel yeyote ya Urusi? Au kama wanonesha ni channel gani ama inaitwaje? Je inawezekana DSTV inamilikiwa na wa Marekani? Kiasi kwamba hawataki kutangaza vipindi au taarifa zinazorushwa na channel za Russia?

Kinachonishangaza DSTV wanarusha channel kadhaa za west kama CNN, BBC, FRANCE n,k wakati DSTV ni ya kimataifa zaidi kwa hapa Tanzania, lakini pia za east kama CGTV, CMC za kutoka Uchina na baadhi kutoka India. Kwanini za Russia hawarushi?

Kwa sisi tunaopenda ku balance story tunapendelea kutazama sehemu zote, yaani USA na Russia. Hata hivyo nawaomba wadau mmnaojua juu ya mambo haya mniambie ni king'amuzi gani naweza kupata kuona vipindi vya Russia kwa hapa Tanzania, badala ya DSTV, ili niweze kujipatia matangazo ya Russia? Naomba mnitajie na majibu ya maswali yangu.

Asanteni.
 
Channel 407 huwa ina Russia Today.
 
u

Unatangazia umma kuwa umejiunga na DSTV kwa sasa? Ungekuwa mzoefu usingeuliza kwani ipo Russia Today.
pia kwa nini Russia isiwe Tunisia
 
Back
Top Bottom