kama huwezi kumudu dstv hamia star times na kama unashindwa hiyo pia hamia kwenye cable na kama bado basi uza tv ununue redio
Kamata king'amuzi cha HAWK 777 kinatumia line ya gsm una subscribe bundle ya mwezi 2500 tshs then unakula fully channels za dstv mwezi mzima
it is aplug and play device..unanunua bundle ,ukishaweka line unachomeka dish lako la d##v kama unalo basi ngoma inaitika machannel kama kukanyag ganda la ndiziInkoskaz, heshima mbele. Je waweza dadavua zaidi katika hiki king'amuzi?
it is aplug and play device..unanunua bundle ,ukishaweka line unachomeka dish lako la d##v kama unalo basi ngoma inaitika machannel kama kukanyag ganda la ndizi