DSTV Full Set kwa TZS 79,000*

Tumeamia IPTV, hahahahahaha maisha yakiendelea hivi na speed nzuri ya internet hasa hawa wavietnam dstv lazima muisome namba, skysports, beinsports, ....na documentary channel na animal planet na Nat. Geographic nk. kwa $55 kwa Mwaka, narudia tena kwa Mwaka.....!
 
Nimefungiwa cjui kinaitwaje yaan kwa 180k maana nilikuwa na dish kubwa nacheki euro, copa america, nba , sky news, cnn, hbo movies, etc bila malipo ya mwezi full hd kwa raaaahaaa
 
Nimefungiwa cjui kinaitwaje yaan kwa 180k maana nilikuwa na dish kubwa nacheki euro, copa america, nba , sky news, cnn, hbo movies, etc bila malipo ya mwezi full hd kwa raaaahaaa
Mkuu hebu tujuze ni dicoder gani hiyo? maana humu wengi ni waanga wa bei za DSTV
 
Mkuu hebu tujuze ni dicoder gani hiyo? maana humu wengi ni waanga wa bei za DSTV
zipo dekoda aina nyingi zinzzofanya kazi kama anavyosema mdau hapo juu mfano wake ni kama: azsky, alphabox nk. unahitaji dish kubwa kuanzia ft.6, ongea na hao mafundi dish walio karibu nawe!
 
Kile kifurushi kinacho kuwezesha kuangalia mipira yote duniani, yani s2 mpaka10 bei gani kwa mwezi?
 
Naweza kununua vifaa vyote nikafunga zambia? Pia kununua ikiwa na kifurushi cha premium bei gani? Nataka nifunge zambia
 
Kampuni ina mfumo wa kizamani,kuwasha mwaka mzima ndiyo uanze kuona picha.
 
kuangalia mpira malipo yake kwa mwezi ni bei gani
 
Sem case mkuu, hawa jamaa hawafai kabisa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…