Kalumbesa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2010 Posts 1,013 Reaction score 356 Dec 12, 2012 #1 Wanajamvi, Ninatafuta zile DSTV decoders zenye kuwezesha kuona picha mbili tofauti kwa wakati mmoja. Niliwahi kuuliza DSTV wakaniambia hawatengenezi tena zile decoder. Kwa anayefahamu wapi naweza kupata anijulishe.
Wanajamvi, Ninatafuta zile DSTV decoders zenye kuwezesha kuona picha mbili tofauti kwa wakati mmoja. Niliwahi kuuliza DSTV wakaniambia hawatengenezi tena zile decoder. Kwa anayefahamu wapi naweza kupata anijulishe.
U utantambua JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 1,367 Reaction score 324 Dec 12, 2012 #2 Me nafahamu extra view ambapo unakuwa na decoder 2 kwa malipo yale yale kwa mwezi ingawa inaongezeka kama dola 5 ama kumi tu kwa huduma hii Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Me nafahamu extra view ambapo unakuwa na decoder 2 kwa malipo yale yale kwa mwezi ingawa inaongezeka kama dola 5 ama kumi tu kwa huduma hii Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
morphine JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 3,513 Reaction score 1,114 Dec 12, 2012 #3 ht mm nina DST ya Zuku ningependa kujua kifaa gani kitaweza nitatulia tatizo km la mtoa mada hapo juu
ht mm nina DST ya Zuku ningependa kujua kifaa gani kitaweza nitatulia tatizo km la mtoa mada hapo juu
B BabaKasheshe JF-Expert Member Joined Nov 7, 2012 Posts 211 Reaction score 45 Dec 12, 2012 #4 je unataka tumia kwa screen moja au mbili tofauti? kama ni screen moja ioneshe chanels mbili inabidi ime LCD
je unataka tumia kwa screen moja au mbili tofauti? kama ni screen moja ioneshe chanels mbili inabidi ime LCD