idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,302 Reaction score 38,473 May 16, 2019 #41 Hongereni Dstv karibuni JF, ni vyema mjitambulishe rasmi ili huu uzi uwe sticker kule habari na hoja mchanganyiko. Kwa upande wa huduma kwa wateja hajawahi niangusha kule Instagram
Hongereni Dstv karibuni JF, ni vyema mjitambulishe rasmi ili huu uzi uwe sticker kule habari na hoja mchanganyiko. Kwa upande wa huduma kwa wateja hajawahi niangusha kule Instagram
Malo Robi JF-Expert Member Joined May 16, 2017 Posts 322 Reaction score 540 Feb 1, 2020 #42 Naomba kufahamishwa kuhusu kifurushi cha family na channel zake has a za michezo Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kufahamishwa kuhusu kifurushi cha family na channel zake has a za michezo Sent using Jamii Forums mobile app
Jephta2003 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2008 Posts 6,733 Reaction score 6,635 Feb 2, 2020 #43 DStv Tanzania said: Oky ipo HD5 ni nzuri zaidi hasa kwa ubora wa picha Click to expand... Ukitaka kuaupgrade toka decoder ya zamani mfano mimi ni DS 1112 kwenda hizi za HD nina hitajika kufanya malipo mengine? Sent using Jamii Forums mobile app
DStv Tanzania said: Oky ipo HD5 ni nzuri zaidi hasa kwa ubora wa picha Click to expand... Ukitaka kuaupgrade toka decoder ya zamani mfano mimi ni DS 1112 kwenda hizi za HD nina hitajika kufanya malipo mengine? Sent using Jamii Forums mobile app