real lyf 2015
Senior Member
- Aug 13, 2015
- 166
- 27
Pata dstv compete set. Used kwa tsh 110,000,
Kwa wanunuzi tu.
Wasiliana na muuzaji 0714260412
Muuzaji yupo ubungo
Kwa wanunuzi tu.
Wasiliana na muuzaji 0714260412
Muuzaji yupo ubungo
Bei yko kubwa ...
wewe ni wakala wa dstv au muuza bidhaa tu?
complete brand new set ni tsh 99,000 kwa standard decoder
Na ya package je...
na lazima.ulipie miezi mitatu.
Chukulia package ya chini kabsa ambayo ni tsh 17000 mara tatu ni 51000
Kisha chukua 51000+99000 jumla kaki na nusu