Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Wakuu, ambao wameshafika "La Chaz " pale Sinza Mori watakuwa wanajua Hali halisi ya pale hasa weekend nyakati za usiku. Utafikiri tupo awamu ya nne aisee. Watu wanakula bata sanaaa. Hawalali kabisa, hekaheka za pale n taabu tupu.
Naona kama wameshaielewa hii awamu. Au sijui ni kujisahaulisha tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona kama wameshaielewa hii awamu. Au sijui ni kujisahaulisha tu.
Sent using Jamii Forums mobile app