juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,449
Jiji lipo UKAWA but DOLA na NCHI ni MALI ya CCM!!!!Sikia mkuu UKAWA wamewapita ccm kama kwa madiwani 20+ hivi. Usiwe na hofu jiji lipo chini ya UKAWA.
Mimi nisaidie Mbeya na Iringa.unataka ya dar tu, kwanin mbona kama yamepitwa na wakati au
Mimi nisaidie Mbeya na Iringa.
Jiji lipo UKAWA but DOLA na NCHI ni MALI ya CCM!!!!
Mimi nisaidie idadi ya Rombo tuunataka ya dar tu, kwanin mbona kama yamepitwa na wakati au
Dola na nchi ni mali ya watanzania. FISI MKUMBWA WE!!
Wanajamvi habari zenu,Mungu awe nanyi.
Naomba mwenye majibu anisaidie tafadhari,hivi kwa hapa jijini DSM mgawanyo wa madiwani upoje? Ningependa kujua hivi kuna jumla ya madiwani wangapi?
Je, CCM wamepata wangapj na UKAWA wamepata wangapi? Vyama vingne sina shida ya kujua maana nina uhakika hawajapata hata mmoja.

Ninavyofahamu mimi Jiji la Dar, Madiwani wa Ukawa 53, CCM 38.Wanajamvi habari zenu,Mungu awe nanyi.
Naomba mwenye majibu anisaidie tafadhari,hivi kwa hapa jijini DSM mgawanyo wa madiwani upoje? Ningependa kujua hivi kuna jumla ya madiwani wangapi?
Je, CCM wamepata wangapj na UKAWA wamepata wangapi? Vyama vingne sina shida ya kujua maana nina uhakika hawajapata hata mmoja.
WILAYA YA KINONDONI
Jimbo la UBUNGO - Chadema
Jumla ya kata 8.
Chadema kata 5
CUF kata 1
CCM kata 2
Jimbo la KIBAMBA-Chadema
Jumla ya kata 6.
Chadema kata 5
CCM kata 1
Jimbo la KAWE - Chadema
Jumla ya kata 10.
Chadema kata 5
CCM kata 5
Jimbo la KINONDONI - CUF
Jumla ya kata 10.
Chadema kata 3
CUF kata 3
CCM kata 4
WILAYA YA ILALA
Jimbo la SEGEREA - CCM
Jumla ya kata 13.
Chadema kata 8
CUF kata 5
Jimbo la UKONGA - Chadema
Jumla ya kata 13.
Chadema kata 7
CCM kata 6
Jimbo la ILALA - CCM
Jumla ya kata 10
Chadema kata 2
CUF kata 2
CCM kata 6
WILAYA YA TEMEKE
Jimbo la KIGAMBONI - CCM
Jumla ya kata 9.
Chadema kata 2
CUF kata 2
CCM kata 5
Jimbo la MBAGALA - CCM
Jumla ya kata 10.
Chadema 1
CUF kata 2
CCM kata 7
Jimbo la TEMEKE - CUF
Jumla ya kata 11.
Chadema kata 1
CUF kata 4
CCM kata 6
Kwa mchanganuo huo hapo juu Muungano wa ukawa una nafasi kubwa ya kuwa na Meya wa JIJI la Dar es salaam na manaibu meya, pia
Manispaa za Kinondoni na Ilala zote
Zitakuwa na mameya wa 2 na manaibu meya wote kutoka UKAWA isipokuwa Wilaya ya Temeke tu ambapo huko ccm wamezidi.