DSL Modem zinauzwaje ?

DSL Modem zinauzwaje ?

deo bruno

Member
Joined
May 9, 2014
Posts
13
Reaction score
0
Wadau Wa Computer Nataka Niwaulize Ivi Dsl Modem Bora Wanauzaga Sh.Ngap Na Maduka Gani Wanauza
 
Hii inauzwa 45000Tshs ni TTCL ndo huwa wanaziuza jaribu kuwachek
 
poa kaka, sasa inakuwa inatumia lain moja au direct line, maana nina router haina sehemu ya kuweka modem, sasa watu wamenishaur ninue dsl il niweze kupata internet
 
deo bruno naona umehangaika sana na hiyo router yako isiyoweza kuwekewa line
je,hiyo router unataka kuitumia kwa ajili ya matumizi ya nyumbani au wapi?
je,watumiaji wangapi?
 
daaah brother ni mim mwenyewe na laptop yang na cm yang at home brother
 
Router lazima uwe na broadband ya TTCL au unaweza kwenda kununua modern special za voda ambazo zina support DSL connection. Matumizi ya router ni kwa computer nyingi imagine km unataka kufungua internet cafe yenye computer kadhaa hv.

Kama ni matumizi ya nyumbani nakushauri tumia modern au simu yako kupata internet kwenye computer yako
 
Kumbe voda wana modem za hivo?
 
kwahiyo brother mi nina modem ya voda, sasa inamaana cwez ku2mia hii router? maana shda yang ni kuspeed up, na hizo dsl si ndo zinalipiwa kwa mwez hiz. sasa mi ntaweza wap,
 
Njuwa
Voda wanazo sema wanauza gharama
 
Back
Top Bottom