DSE Sasa Kuziwezesha SME Kupata Mitaji - Press Release

Jul 14, 2008
1,820
1,031
1186255_229538357199620_1422976810_n.png


PRESS RELEASE


DSE PUBLIC AWARENESS CAMPAIGN FOR THE ENTERPRISE GROWTH MARKET

“DSEs’ Enterprise Growth Market (EGM) a vehicle to Wealth Creation”

1236114_230518953768227_900548444_n.png


The Dar es Salaam Stock Exchange (“DSE”) would like to inform the general public that it has established a new segment at the DSE. This new segment, namely the Enterprise Growth Market is meant to facilitate long term capital raising for Small and Medium Enterprises (“SMEs”) in the Country. This program is schedule to run for a period of nine months and will involve the use of various media outlets with the intent to reach into the wider audience for both issuers and investors.

DSE understands that SMEs are considered among the key vehicles for wealth creation and, therefore, have the potential to make substantial contribution towards real economic growth, depending on their growth orientation. The DSEs’ decision to embark on this major campaign hinges on the DSE’s profound role in providing the required long-term financing to the identified feasible (with great potential for growth) projects.

DSE also understand that well nurtured SMEs have a positive impact on the country’s economic development initiatives since their activities are both inclusive and have a wider outreach in creating the multiplier effect in the economy. However, one of the major constraints facing SMEs is access to finance. Therefore, an initiative to provide capital financing solution to SMEs is of utmost importance.

As you are aware, SMEs, due to their nature have unique financial needs. However, so far efforts to provide access to finance by SMEs have focused mainly on commercial banks, microfinance institutions and government/donor funded programs. These funding sources provides mostly short term financing and, in some cases, have not been sustainable. To that effect, SMEs have not been able to obtain long-term funding for growth. There is, therefore, a need to identify additional sources of funds that will provide long term financing.

As one of the key stakeholders in the implementation of the government policy on SMEs, the DSE has worked with other stakeholders to put in place institutional framework in order to address the constraint to long-term financing. Introduction of the Enterprise Growth Market (EGM) on the DSE market segment will serve entrepreneurs and managers of enterprises by facilitating the availability of capital to start or expand their projects.

With is campaign, the DSE will inform entrepreneurs on this window of opportunity and therefore through this, the DSE will be able to have a closer working relationship with the widespread SMEs in the country and can easily share with these entities about the financing opportunity available at the DSE’S Enterprise Growth Market Segment. Through this campaign, existing and potential investors will also be informed on the existence of this new investment opportunity.

ISSUED BY DSE MANAGEMENT
NB:
Genuine official answers for genuine questions will be answered by DSE after forwarding your queries.
 
good news!
yale mabilioni ya kikwete hivi yaliiisha?

Yes its good news! Ingawa sijui ni SME ngapi seriously wata-take advantage kwenye opportunity hii iliyojitokeza.

Mabilioni ya JK aulizwe JK. DSE is for serious business people. No politics.
 
Yes its good news! Ingawa sijui ni SME ngapi seriously wata-take advantage kwenye opportunity hii iliyojitokeza.

Mabilioni ya JK aulizwe JK. DSE is for serious business people. No politics.
sory kwa kunimisinterpret mkuu ..nimeuliza kama yale mabilioni ya jk yapo maana naona ni fursa imepanuka kwa hizi sme !i mean hii fursa plus mabilioni yale...tusipotoka basi watz tumelogwa!
 
sory kwa kunimisinterpret mkuu ..nimeuliza kama yale mabilioni ya jk yapo maana naona ni fursa imepanuka kwa hizi sme !i mean hii fursa plus mabilioni yale...tusipotoka basi watz tumelogwa!

Ni kweli fursa ya DSE "EGM Window" ni opportunity njema kwa SME zenye Plans mathubuti zinazouzika.

Ila kama nilivyosema, Watanzania walio wengi hawako serious sana kibiashara.
 
Mkuu .. and what about informal sector

Mkuu, DSE hawafanyi kazi na informal sectors. hizo waulizwe wanasiasa may be. Kama kampuni yako ikikidhi mahitaji ya kuwa listed DSE na wawekezaji (Wanunua Hisa) wakapenda basi unaweza kupata mtaji wa kutosha.
 
Ni habari nzuri, lakini kama walivosema katika hio press release upo umuhimu wa kukitangaza hiki kitu katika media ili wananchi ambao ndio walengwa wafahamu, ninavofahamu wapo watanzania wengi tu ambao hawaifahamu hata DSE(soko la hisa la DSM) ni kitu gani na wanafanya nini

Mkuu Sanctus Mtsimbe ulipotea, karibu tena jamvini.
 
Last edited by a moderator:
katika biashara ambazo nimeshindwa kuzielewa ni hii biashara ya hisa nimejaribu sna kufuatilia lakini huwa natoka patupu wenye uelewa hebu tupen somo
 
Ni habari nzuri, lakini kama walivosema katika hio press release upo umuhimu wa kukitangaza hiki kitu katika media ili wananchi ambao ndio walengwa wafahamu, ninavofahamu wapo watanzania wengi tu ambao hawaifahamu hata DSE(soko la hisa la DSM) ni kitu gani na wanafanya nini

Mkuu Sanctus Mtsimbe ulipotea, karibu tena jamvini.

Mkuu Kivumah, asante sana nimekaribia. Majukumu mengi Mkuu!

DSE sasa hivi wanaendesha Media Public Campaign na wana vipindi kila wiki vinasikika TBC1, ITV, Star TV, Radio Free Africa, Radio One, TBC Taifa FM. Pia unaweza kuwafuatilia katika Social Media with a key word DSETANZANIA. Pia kuna Filamu ya kuelimisha imetengenezwa na itaonyeshwa na kupatikana from November 2013.
 
Last edited by a moderator:
katika biashara ambazo nimeshindwa kuzielewa ni hii biashara ya hisa nimejaribu sna kufuatilia lakini huwa natoka patupu wenye uelewa hebu tupen somo
komeka soma post yangu hapo juu. Fuatilia kampeni hii utaelimika.

Ila kwa kifupi ni kuwa ukinunua Hisa au Share katika Kampuni, basi wewe unakuwa ni Mmiliki wa kampuni na inapopata faida unapewa sehemu ya faida kufuatana na hisa zako.

Pia kama unataka kujitoa unaweza kuuza hisa zako kwa faida kama biashara yoyote.

Makampuni yasiyo na Mitaji yanaweza kuuza hisa zake kwa wanaopenda kununua hisa. Hii ina maana wanaweza kupata mitaji bila ya kukopa kwenye mabenki.
 
Last edited by a moderator:
DSE walitoa semina maalumu kuhusu EGM mikoa ya Kagera na Kigoma hivi karibuni! Pongezi kwa Wawezeshaji Mr. Magabe Maasa na Bi. Sara Mrema.
 
Sanctus Mtsimbe
Mkuu EGM ni mkombozi kwa SME's katika kukuza mitaji. Ningependa kujua ni biashara yenye mtaji kiasi gani inaweza kujiunga kwenye soko hili dogo?, Pili mimi kama mjasiriamali umiliki wa kampuni yangu (ownership status) itakuwaje baada ya kupata mtaji kwa kuuza hisa?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom