Princemwalejr
JF-Expert Member
- Nov 9, 2017
- 496
- 492
Kwa nyumba ya kawaida ya nyumba vitatu Na senile nahitaji material kiasi Gani Na itanigharimu shilingi ngapi?Ukiona wanajenga magorofa kwa zege nyembamba hivyo ni kwa sababu hawana mpango wa kutumia tofali kwenye kuta za ndani. Watatumia drywall au glass.
Vipi kuhusu uwezo wa huo ukuta dhidi ya wezi?
Vipi kwa watoto watundu hawawezi kuiharibu????
Mkuu, hasa huko kitaani kwetu wizi umezidi. Sasa kwa hii material, si itakuwa kama wanatafuta Mbege uchagani..Vipi kuhusu uwezo wa huo ukuta dhidi ya wezi?
Ha ha haaaaMkuu, hasa huko kitaani kwetu wizi umezidi. Sasa kwa hii material, si itakuwa kama wanatafuta Mbege uchagani..
Mkuu, hasa huko kitaani kwetu wizi umezidi. Sasa kwa hii material, si itakuwa kama wanatafuta Mbege uchagani..
Mbona hii kitu ipo. Wengi wanafanya partitions kwenye ofisi, wanatumia mbao na gypsum boards tu. Ukipiga rangi hamna mtu anaejua kuwa huo si ukuta wa tofali.Wabongo tuache kuingiza iphones kutoka nje tuanze kuleta vitu vya aina hii. Tena hii inaweza hata kutengenezwa Tanzania.
Mbona hii kitu ipo. Wengi wanafanya partitions kwenye ofisi, wanatumia mbao na gypsum boards tu. Ukipiga rangi hamna mtu anaejua kuwa huo si ukuta wa tofali.
Hebu tudadavulie gharama za kusimamisha tofali vs mbao na gypsum board on the same wall(mbao treated,sound proofing etc)Ndio tuendeleze zisiishie ofisini.
Hapa ndiyo na mimi ninapomsubiri. Atupatie hizo gharama na life span yake huo ukutaHebu tudadavulie gharama za kusimamisha tofali vs mbao na gypsum board on the same wall(mbao treated,sound proofing etc)