mkuu wangu..., si inategemea na location uliyopo! au?coz vyuo vya udereva vimetapakaa jiji zima! Bt kama unataka the quality one,nenda VETA pale utatoka ukiwa umeiva haswaaa.. Shule njema mkuu wangu...,hopefully utakua driver mzuri mwenye kuzingatia sheria zote za road...