Internet yenyewe lazima iwe ya LAN nikiwa na maana ya cable and not modems ndo itakubali kuupdateRight click My Computer, then Manage...pale update driver software za sound!!
Internet must be!!
Internet yenyewe lazima iwe ya LAN nikiwa na maana ya cable and not modems ndo itakubali kuupdate
Unaweza kufafanua kitaalam kwa nini ni kwa kutumia cable tu ndio mtu anaweza kuupdate na sio modem kama ulivyosema
mkuu mbona unapoteza muda na nguvu zako kwa mtu aliyekariri??? hivi vyou vya kata......... haiwezekani computer iweze kubrowse kwa modem ila isifanye updates!!!
Ila nakumbuka kwa moderm mi ilinikatatlia kuupdate, so huenda huyo jamaa aliyesuggest cable yuko sahihi
oooh...my god!!internet yenyewe lazima iwe ya lan nikiwa na maana ya cable and not modems ndo itakubali kuupdate
Hakuna kitu kinachoitwa "window xp 2006," kwa hiyo mpaka hapo tu nakutilia mashaka na unachofanya huko, inawezekana hata unachokiita drivers inaweza kuwa ni codecs zina miss, au huna audio player at all unasema "drivers," au sound settings iko at zero volume, who knows?Nimeweka window xp 2006
<br />Habari za wakati watblam.Nimeweka window xp 2006 kwenye dell gx270,nilipomaliza nikaweka driver za sauti lakini imegoma kabisa wakati zamani ilikuwa inakubali.Message ninayoipata ni hii.Cannot install.SET UP or INSTALL program file name contain folder information.Use checkout in the Action Menu Instead.<br />
Msaada jamani