Driver job seeker

Driver job seeker

ila hujatueleza kuhusu driving licence yako, je ni ya daraja gain?
Ninaendesha VIP tuu siendeshi magar makubwa lessen yangu ni class A D na E ila sija renew, nikirenew napata class C 123, material pia hamna TRA zoez la kubadili leseni bado linasua sua
 
Mkuu Coca Cola Beverage Africa walitangaza nafasi 10 za madereva zakuendesha magari makubwa yakusambaza soda zao.. Sijajua kama uliziona au huwezi endesha hayo magari... Unaweza pita hapo pia ukadadisi mambo mawili matatu....
Niliona tangazo Mkuu lakin sikuweza kuomba, walihitaj lesen class C na pia sina uzoefu kwenye malori mi naendesha VIP tuu
 
Aisee, unaendesha VIP kwa kutumia leseni gani mkuu...?

Coz nnavyojua mimi ni kuwa Class E ni HGV i.e MAGARI MAKUBWA. Na kupata VIP Driving ni unatakiwa kuwa Class C123 baada ya kusoma Advanced Drivers Grade II.

Sasa wee umesema unaendesha magari madogo tu halaf una Class E. Halaf umesema unaendesha VIP ukiwa na Class AD na E. Really...?

Curious to know mkuu.

Na pia kuhusu kulipia leseni haina tatizo coz hata yangu iliisha ila sasa hivi naendesha na receipt tu ya malipo huku nikisubiria leseni. Wanaruhusu mbona.

Thanks.
 
Nilipokata lesen kwa Mara ya kwanza nilipata class A D na E, baada ya kutumia kwa miaka 2 nikaenda NIT Kusoma advanced driving grade II,

Cheti cha NIT kitaniwezesha kuongeza madaraja katika lesen yangu ambapo nitaongeza C 123 pia nna A 123.

Sijarenew bado lesen yangu bado mda haujaisha, ningeweza kurenew kabla ya muda lakin TRA kwa sasa materials hamna napewa karatasi tuu, nimeona nisubiri.

Pia kwa sheria mpya ambayo imepitishwa lakini haijasainiwa ni kuwa wanaosomea VIP wote watapata daraja D ambalo litakuwa advanced,

Wanaoendesha gari aina yoyote ile ya abiria lazima asome PSV, na pia kwa watu wa zaman ambao walipewa lesen kwa njia ya mkato wakienda kurenew watapunguziwa madaraja kutokana na wengine kukosa sifa
 
Aisee, unaendesha VIP kwa kutumia leseni gani mkuu...?

Coz nnavyojua mimi ni kuwa Class E ni HGV i.e MAGARI MAKUBWA. Na kupata VIP Driving ni unatakiwa kuwa Class C123 baada ya kusoma Advanced Drivers Grade II.

Sasa wee umesema unaendesha magari madogo tu halaf una Class E. Halaf umesema unaendesha VIP ukiwa na Class AD na E. Really...?

Curious to know mkuu.

Na pia kuhusu kulipia leseni haina tatizo coz hata yangu iliisha ila sasa hivi naendesha na receipt tu ya malipo huku nikisubiria leseni. Wanaruhusu mbona.

Thanks.
Vyeti nilivyonavyo vinaniruhusu kuendesha VIP japo sijarenew lessen mkuu, Sifa nnazo zote na uwezo pia ninao ndio maana nimeomba kazi hii na ni taaluma yangu
 
Niliona tangazo Mkuu lakin sikuweza kuomba, walihitaj lesen class C na pia sina uzoefu kwenye malori mi naendesha VIP tuu
Basi nakushauri mkuu pata na licence yakuendesha na magari makubwa, life la sasa hivi nikupiga kazi yoyote iliyo halali na wala sio kusubilia kunyonga tie na kula kipukwe ofisini au kwenye gari!

Nimependa sana unajua kutolea maelezo jadidifu pindi uulizwapo swali!
 
Nashukuru mkuu nitajitahid pia kutafuta connection kwenye malori kupata uzoefu pia, nashukuru sana kwa ushauri na nitaufanyia kazi mkuu. Shukrani sana ubarikiwe
 
Mkuu Coca Cola Beverage Africa walitangaza nafasi 10 za madereva zakuendesha magari makubwa yakusambaza soda zao.. Sijajua kama uliziona au huwezi endesha hayo magari... Unaweza pita hapo pia ukadadisi mambo mawili matatu....
Matapeli waliotangaza
 
Hii kali sasa! Yaani mtu anaenda lipia tangazo kwenye gazette ili afaidike na nini sasa! Maana hadi email ni ya Coca Cola beverage Africa! Huyo Magreth Halla namjua!
Mwisho wa siku watu walioomba walikua wanatumiwa ujumbe unaowataka waambatanishe 10,000
Kwa ajili ya interview
Huyu jamaa kuna sehemu aliwahi kunijibu mbovu sana
Nikajua labda aliamka vibaya kumbe ni asili yake..
Kwa kweli kama ndo hali halisi bora ujiondokee tu.
 
I am experienced grade II driver working with different companies and leaders driving 5000-7000 km per month with more than two years experience. I have verse experience in Tanzania road regulations and topography driving in rough road and tarmac road in major cities and areas in rural areas in Tanzania.

I have experienced in transport logistics, car maintenance, defensive driving. I have it all from attending and qualify in Tanzania Institute of Transport ( NIT ).

I am fluent in two languages English and Swahili. I am able to make arrangements for trip I have experienced in Tanzanian roads.

I also have experience in Microsoft word, Excel and Power point and I'm using this for fleet management.

Education level- form four 7 passes.

NIT- VIP grade II driving course.

Experience.

Member of a Parliament driver 1 year.

Chauffeur driver, Mikono speakers company. 1 year

Personal driver VIP, 6 month,

Uber driver 3 month.

Fluent in Swahili and English language

Ability to work as team.

Ability to work as marketer and distribution driver.

Ability to work under less supervision.

If interested and you need me to work with you or your organization you may contact me through.

0625-872867
You look to be trustless, why left all those institutions?
 
Driver job is quit different to other jobs, it is not guaranteed due to unlimited contracts, it depends on the nature of the work wether periodically or permanent.

Trustless is personal habits, worked with those institutions doesn't mean I'm trustless but, I was not limited to that institute, no contract limits me not to work with others,
Not only that but also, once working environment is not suits or bad in one way or another why should I keep on working on such environments.

Everyone has to work on such a good environment to which he or she is freely and comfortable to work with, for better performance and good in return.
 
NIMERUDIA UZI HUU KWA MARA NYINGINE TENA NDUGU ZANGU TUPATE KUKUMBUKANA MAANA VYUMA VIMEKAZA.

I am experienced grade II driver working with different companies and leaders driving 5000-7000 km per month with more than two years experience. I have verse experience in Tanzania road regulations and topography driving in rough road and tarmac road in major cities and areas in rural areas in Tanzania.

I have experienced in transport logistics, car maintenance, defensive driving. I have it all from attending and qualify in Tanzania Institute of Transport ( NIT ).

I am fluent in two languages English and Swahili. I am able to make arrangements for trip I have experienced in Tanzanian roads.

I also have experience in Microsoft word, Excel and Power point and I'm using this for fleet management.

Education level- form four 7 passes.

NIT- VIP grade II driving course.

Experience.

Member of a Parliament driver 1 year.

Chauffeur driver, Mikono speakers company. 1 year

Personal driver VIP, 6 month,

Uber driver 3 month.

Fluent in Swahili and English language

Ability to work as team.

Ability to work as marketer and distribution driver.

Ability to work under less supervision.

If interested and you need me to work with you or your organization you may contact me through.

0625-872867
 
NIMERUDIA UZI HUU KWA MARA NYINGINE TENA NDUGU ZANGU TUPATE KUKUMBUKANA MAANA VYUMA VIMEKAZA.

I am experienced grade II driver working with different companies and leaders driving 5000-7000 km per month with more than two years experience. I have verse experience in Tanzania road regulations and topography driving in rough road and tarmac road in major cities and areas in rural areas in Tanzania.

I have experienced in transport logistics, car maintenance, defensive driving. I have it all from attending and qualify in Tanzania Institute of Transport ( NIT ).

I am fluent in two languages English and Swahili. I am able to make arrangements for trip I have experienced in Tanzanian roads.

I also have experience in Microsoft word, Excel and Power point and I'm using this for fleet management.

Education level- form four 7 passes.

NIT- VIP grade II driving course.

Experience.

Member of a Parliament driver 1 year.

Chauffeur driver, Mikono speakers company. 1 year

Personal driver VIP, 6 month,

Uber driver 3 month.

Fluent in Swahili and English language

Ability to work as team.

Ability to work as marketer and distribution driver.

Ability to work under less supervision.

If interested and you need me to work with you or your organization you may contact me through.

0625-872867
Mkuu, nimefurahishwa sana na jinsi ulivyoliweka tangazo lako na uwezo wako wa kujieleza.
Sina connection ya moja kwa moja ya kazi, lakini apply kwa hii kazi hapa chini ya US Embassy Tanzania, deadline ni tarehe 8 January, nimeangalia vigezo hapa naona umefiti kabisa.
Pia, nicheki PM nikupe email ya watu wa HR kwenye kampuni niliyopo utupie CV yako na application letter, kuna uhitaji mkubwa wa madereva,japokua hawajatangaza lakini ukiapply utakua kwenye nafasi nzuri in case wakahitaji dereva haraka haraka (I am not promising you anything, but lets just try-nimejaribu kuku-PM but i couldnt)
Mr Kazi
 
Attachments

Safi kabisa. Unaonekana wewe ni Muislamu.
Maana una moyo wa kusaidia.
 
Nashukuru sana mkuu, lakini mimi si Muislamu. Ila ni msamaria tuu ambae nimeguswa na tatizo la Mr Kazi, na nikavutiwa na alivyoweza kujieleza vizuri, hivyo nikaona nitoe msaada japo mdogo kwa kadri nilivyojaaliwa na Mwenyezi Mungu aliyeumba watu wote (Waislamu,Wakristu,Wapagani,Wabudha,Weusi,Weupe,Wafupi,Warefu, etc)
Padri Mcharo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom