Sina kazi kwa sasa, kwa mbunge nimeacha kutokana na kukaa muda mrefu bila kazi, kipindi cha bunge nampeleka dodoma halaf anananiambia nirudi anatumia tax kwenda na kurud bungeni, bunge likiisha naenda kumchukua, kazi tena mpaka ziara za jimbo au kipindi cha uchaguzi. Kipato napata kukiwa na kazi kazi hamna kipato hamna.Are you jobless...!!! I can't imagines.... Ulipokuwa unafanya kazii umetoka kwa sababu ganiiii...!!!
Asante sana mkuu, naomba mwenyez mungu anifanyie wepesi ndugu, shukrani sana[emoji122] [emoji122] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Nimependa ulivyojieleza kistaarabu na kuonyesha high level ya proffessionalism. Mkuu utapata kazi haraka sana.
In English please..Sina kazi kwa sasa, kwa mbunge nimeacha kutokana na kukaa muda mrefu bila kazi, kipindi cha bunge nampeleka dodoma halaf anananiambia nirudi anatumia tax kwenda na kurud bungeni, bunge likiisha naenda kumchukua, kazi tena mpaka ziara za jimbo au kipindi cha uchaguzi. Kipato napata kukiwa na kazi kazi hamna kipato hamna.
Mikono speakers nimeacha uongozi ulibadilishwa akaja boss anakejeli hamna mfano, ukimpitisha njia fulani hataki anakwambia unanipitisha njia gan hizi sihitaj kuona maskini au mitaa mibovu, kukutukana mbele za watu ni kawaida, hana ukomo na muda wa kazi na ukikataa anakukata Malipo muda mwingine mpaka sa nne usiku nipo nae.
Mtu personal nilyekuwa namuendesha yuko China kikazi miezi sita kazi imesimama.
Uber nimeacha madereva ni wengi, boss anakomaa hesabu 40 mpaka 50 kwa siku kitu ambacho hakiwezekani nikaona nimpe gar yake maana sio mwelewa.
Wacha upuuzi,kama huna cha kumsaidia tulia mshonoIn English please..
Huna akili wewe...Wacha upuuzi,kama huna cha kumsaidia tulia mshono
Nimeshafanya jitihada sana na barua na CV zangu zipo ofisi mbali mbali ila kazi za sasa ni kujuana sana ni wachache wanaoajiri bila kuangalia sura au ukaribu. Sijachoka ndugu na sitoacha kutafuta. Nakushukuru sana kwa kunipa moyo na ushauri pia ubarikiwe ndugu.[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Kiongozi kwa jinsi ulivyo jieleza unaonekana upo vizuri,jaribu kuwa unatembelea ofisi za wilaya mara nyingi huwa wanatangaza nafasi za madereva pia uwe unapitia page ya Ajira zetu huwa ninaona nafasi za madereva wakihitajika,fanya connection na watu ambao wanaendesha kwenye mashirika,serikali pamoja na migodi,inshaallah utapata kazi.
Shukrani MkuuMaelezo mazuri kabisa
Amen, nashukuru mkuu, naomba mungu afanye wepesiKatika watu waliojielezea vizuri kwa position yako tangu jamiiforum kuanzishwa ni wewe, ongera sana na kazi utapata
Thank you so much, [emoji120]Hongera mkuu, uko vizuri kujieleza.
I hope you will have your break soon.
Nashukuru mkuuSafi kabisaaa yan ata maelezo tu yanavutia kwa msomaji
Bro kingereza nimejua mda sijakijua hapa jf kwa ajili ya kuomba kazi, nna uhakika kingereza nnacho ongea Mimi wewe bado sana japo elimu yangu form four, Acha kejeli Niko serious natafuta kazi sifurahishi mtu hapaIn English please..