...aahhh mkuuu usiniambie hauishi uswazi..!! anyway,njia ya kwanza ni wachawi na wataalam wa elim dunia wakaokoka wametupa hizo habari na nyingine ukisikia itakimbia, pili tangu enzi hizo wazee wanatupa hizo habari,tatu hata ukipita kwenye miti mikubwa unakuta hirizi zimening'inia,matambiko yote hayo ni uchawi tu,need i say more mkuu...?