kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 2,898
- 7,291
Wasalaamu!
Kama heading inavyojieleza, Desemba hapa nilikuwa na mgonjwa alielazwa hospitali ya wilaya moja mkoani! Alihitaji damu na maji!
Chupa ya damu walisema ni elfu 20 (hii ni kwa mujibu wa aliekuwa anamhudumia, na maji elfu 20! Tatizo halipo kwenye damu, ni maji, je kwa wazoefu au wataalam wa afya kuna dripu inauzwa bei ghali namna hii ama kwa vile kila wakitaja kitu muamala unasoma wakaona hii ni njia ya kunipiga?
Sikutaka kuhoji Sana, bills nilizokuwa napewa nilikuwa nazilipa bila pingamizi!
Angekuwa walau hospitali private ambayo ni expensive kidogo nisingehoji, lakini hizi hizi za serikali? Naomba kueleweshwa ama Mimi ndio sijui?
NB: Mgonjwa wetu alipatiwa drip 2 za damu na 4 za maj, Now Yuko poa na keshatoka hospitali. Ndo uafrika wetu kushikana mikono hakuna namna.