kamanda mbigi
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 1,241
- 1,546
Andaa mil 1.4 nije nikufungie mkuuHabari wakuu..kuna project naanda ya drip irrigation so naomba msaada wa estimation ya cost kwa eka au kama kuna mdau ana project plan ya hii mambo naomba anisaidie