Ni sawasawa na kusema nilitaka kununua jembe bei yake ikawa kubwa nikaamua kununua mfagio
One is not necessarily an alternative to the other..., Greenhouse inasaidia kuweka mazingira ambayo unaweza ukaya-control hence kulima/kupanda kitu ambacho otherwise ungeshindwa kukipanda kutokana na mazingira hayo.., drip irrigation ni umwagiliaji ambayo una-conserve maji kwa kumwagilizia directly kwenye mmea wenyewe na kidogo kidogo
Sasa inabidi mwenyewe uangalie je unahitaji hayo ili wewe kupata hayo mazao au ni kujiongezea gharama ambazo hazina maana...
Pia unaweza ukatengeneza drip irrigation kwa kukata makopo / chupa na kuyatoboa maji yawe yanatoka matone matone kama ni kwenye miti ya matunda na hayo matunda sio mengi
Kwa kuongeza overheads hakikisha soko lipo na lina justify hio increase of overheads na hakuna alternative
Wasambazaji wameanza kupunguza bei za drip lines, kwa sasa wengi wanauza tsh 600/mita. wakati walikua wanauza tsh950/mita nazani nanenane zitashuka zaidi ngoja tusubiri.
Wasambazaji wameanza kupunguza bei za drip lines, kwa sasa wengi wanauza tsh 600/mita. wakati walikua wanauza tsh950/mita nazani nanenane zitashuka zaidi ngoja tusubiri.