Drinkers za nguruwe kesho zitakuwepo Morogoro

Fuga Kisasa

Senior Member
Jan 16, 2016
165
91
Siku ya kesho kuna mmoja wa wakilishi wa kampuni yetu inayouza drinkers bora kabisa za nguruwe kwa bei nafuu atakuwepo Morogoro, kwa yeyote atakayehitaji aweke oda yake sasa ili kesho aletewe mzigo wake.
Piece moja inauzwa kwa elfu tisa na mia tano tu (9,500). Kwa wale ambao hawazijui angalieni picha hapo chini.

Fuga kisasa, ufugaji ni utajiri endapo utafuga kwa kuzingatia ufugaji bora.

KWA MASWALI, PIGA SIMU NAMBA 0625504952
download.jpg
IMG-20160126-WA0062.jpg

20160126_100715.jpg
 
TUNAUZA ''DRINKERS'' IMARA NA ZA KISASA ZA NGURUWE. Wasiliana nasi: 0625504952
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom