Drill inauzwa kwa shilingi ngapi?

Drill inauzwa kwa shilingi ngapi?

Subiri Big Result Now Ya Kilimo Kwanza Pengine Itatoka Na Ruzuku Ya Drill

Hawa ndiyo great thinker sasa.
mwanga lutila big up sana kaka angu.

lakn kuna mishagigi humu inajiita mamaafacebook
eti inaona kelo mimi kuomba ushauri kuhusu kilimo.
nigeazisha uzi wa ng.no ungeona sasa jinsi inavyochangia.

kama maada haikufai achana nayo usubiri unazozipenda
 
Last edited by a moderator:
Hawa ndiyo great thinker sana.
lakn kuna mishagigi humu inajiita mamaafacebook
eti inaona kelo mimi kuomba ushauri kuhusu kilimo.
nigeazisha uzi wa ng.no ungeona sasa jinsi inavyochangia.

kama maada haikufai achana nayo usubiri unazozipenda

Ahha umejuaje mie shangingi ila hujakosea nipo na baba ako muda huu namkatia kiuno
 
Last edited by a moderator:
nashukuru sana ndugu kwa ushauri wako; ina maana serikali haiwezi kutukopesha tuko vijana watano na kupitia sisi vijana wengi tutawajiri ili kupunguza murundikano wa vijana wengi mjini ambao wanakuja dar es salaam na kuwa wana lala nje pale kariakoo.

Wakuu hadi sasa sijapata jibu!
 
Back
Top Bottom