Shy land
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 6,245
- 2,856
Mimi ni bwana Kipara nimezaliwa Shinyanga nimeajiliwa hapa Dar es salaam.
Tatizo kubwa ambalo huwanga linanichaganya akili ni hili swala la kuperekeshwa yaani naona sijawa na uhuru kabisa tangu nizaliwe. Nimekuwa mtu wakuperekeshwa tu kuanzia kwa wazazi, shuleni hadi leo hii nimeajiriwa.
Nimepanga kujiajiri hili ndio naona wazo kuu la kufanya mambo yangu bila kuingiliwa na mtu yeyote.
ajira ambayo nimeibuni ni kilimo, kwa kuwa nyumbani tumebahatika kuwa na mbuga zenye lutumba na mashamba makubwa kama heka 145 ukijimulisha mashamba yote.
tatizo ambalo limenikatisha tamaa ni uhaba wa maji na ukosefu wa mvua
Lakini niliwafata watalamu mbalimbali wakanishauri ninatakiwa kufanya diriri ya maji ya chini kabsa katika mashamba ili kupata maji ya uhakika kila wakati, kiasi kwamba nitaendesha kilimo katika kipindi chote.
1 Watalamu naombeni nifahamishwe kwamba hii diriri inagalimu shilingi ngapi.
2 Namna yakuwenza kuchukua mkopo serikalini ili niakendeshe kilimo maana tuko kama vijana watano tuliounda hii binu.