PrincessAnne
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 1,875
- 2,229
Mmmmh hujui ni material aina gani [emoji15] Ni yako umeiba au ulihongwa??sijui aina ya mbao mkuu ila kama unavoiona ni haijatumika mda mrefu na kioo kiko safi hakijapasuka. nicheck 0653116399
Mmmmh hujui ni material aina gani [emoji15] Ni yako umeiba au ulihongwa??sijui aina ya mbao mkuu ila kama unavoiona ni haijatumika mda mrefu na kioo kiko safi hakijapasuka. nicheck 0653116399
mkuu kwani ni lazima kujuaa aina ya mbao? we unavoona hapo kwenye picha ni mbao aina gani? unavoiona ndivo ninavoiona.pia kuwa mstaarabu basi mkuu! lugha yako sio nzuri hiyoMmmmh hujui ni material aina gani [emoji15] Ni yako umeiba au ulihongwa??
Si lazima kujua aina ya material ya bidhaa kufahamu ubora wake??? [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]m
mkuu kwani ni lazima kujuaa aina ya mbao? we unavoona hapo kwenye picha ni mbao aina gani? unavoiona ndivo ninavoiona.pia kuwa mstaarabu basi mkuu! lugha yako sio nzuri hiyo
Mkuu shida yako nini? unahitaji nini? mambo mengine madogo unataka kuyakuza ili iweje? sidhani kama unafaa kuwa Great Thinker!!! kama unaona nimekosea au kama unafahamu unashindwa kunisahihisha? au kama hununui si bora ukae kimya? why utumie lugha chafu? em jaribu kubehave afu usikute naonghea na mtu mzima mwenye uwezo wa hata kunizaa na hata kama we ni kijana mwenzangu why unakomalia vitu ambavyo ni vyepesi kueleweka? unafaa kuwa Instagram sasa hivi weweSi lazima kujua aina ya material ya bidhaa kufahamu ubora wake??? [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Mkuu shida yako nini? unahitaji nini? mambo mengine madogo unataka kuyakuza ili iweje? sidhani kama unafaa kuwa Great Thinker!!! kama unaona nimekosea au kama unafahamu unashindwa kunisahihisha? au kama hununui si bora ukae kimya? why utumie lugha chafu? em jaribu kubehave afu usikute naonghea na mtu mzima mwenye uwezo wa hata kunizaa na hata kama we ni kijana mwenzangu why unakomalia vitu ambavyo ni vyepesi kueleweka? unafaa kuwa Instagram sasa hivi wewe
mkuu ni mipango tu, watoto wa wakuliima sisi . ndo maana nauza 0653116399Duh! Awamu hii ya viwanda watu wanauza sana vitu vya ndani.
Tunafanyaje sasa? Nataka unipeleke.kuna duka pale gerezani inauzwa elf 90 (sale), Ya hivo hivo, tusiharibu biashara bye teh
Binti tuheshimiane...Hahaha bye
Asuburi wasukuma waje watanunua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] shikamoo babuBinti tuheshimiane...
asante sana Mkuu, your line means a lot to me!!Mimi sio mnunuzi........
ILA ninapenda kukupa HONGERA SANA mleta mada kwa Majibu mazuri na yenye busara kwa waulizao bila mantik.
GT
Umempa changamoto, ila ni vyema tusiwe "ignorant" kwa vitu vya msingi. Lazima mnunuzi/muuzaji uwe na taarifa za kutosha na sahihi kuhusiana na bidhaa yako. Wakati wote, taarifa sahihi huleta maamuzi sahihi. Ni jambo la msingi kuuliza kuhusiana na "material" iliyotumika nk kulingana na aina ya bidhaa. Mara zote tumekuwa tunapuuzia vitu vya msingi halafu tunatafuta "justification".kuwa greatthinker ni kupost thread ya kuuza bidhaa na hujui sifa za bidhaa yako??