figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,572
- 62,168
Huyu anaitwa nani.........?
Hivi Deo hajawahi kutabasamu?
Kwani kwafulila ndo yupihapo?
Huyo aliyekaa kutoka kulia kwa aliyechuchumaa kushoto kwa huyo aliyevaa pensi.
David Silinde mbunge wa mbozi magharibi
yaani hiyo panel imekosa simu ya maana yenye uwezo mzuri wa kupiga picha mpaka watumie tecno?!!.picha ina ubora duni.bure kabisa.
Zitto utaoa lini?
Tena Tecno P3
They look shabby, sijapendezwa kwakweli