Hao niwatetee nini si dada zenu mnawavalisha upuuzi huo mnawapiga picha ili muutukane Uislam, unafikiri hatujuwi mbinu zenu za kijinga?
why??????????????
basi sawaNi watu mahiri kwenye uchambuzi wa swali lako...
Mmoja ni muumini wa Mungu na mwingine anaamini Mungu ha exist.
Kazi ni kwako.
Inauma sana!! Embu fikria kama huyo ndio mwanao? Yeye Innocent na anaenda kuwaua wengine ambao very Innocent, Why men? Killing in the name of god? that god must be very selfish?
sometimes nadhani God does not exist why he allow all this thing? why he give Satan power to kill his people? any way
Siku zote usipofuata maelekezo ya jinsi ya kutumia bidhaa uliyonunua basi ukiihalibu huwezi kumlaumu aliyekuuzia.
sometimes nadhani God does not exist why he allow all this thing? why he give Satan power to kill his people? any way
Komenti zote nimezipitia hazina kitu cha ziada isipokuwa komenti yako. Mimi sikamui maziwa ila ninamcheki jamaa mmoja yuko bize kweli kwenye kinena akiwaambia watu yeye anajua sana kazi za mikono!
Umewahi kukisoma kisa cha kinyozi? mtu mmoja alisema kama wewe, baadae jamaa akamuonesha watu kibao ambao wana nywele ndefu kama vichaa, wengine wachafu sana hadi ndevu zao, kisha akasema mji huu hauna vinyozi, halafu miss chagga akagoma kwa kusema mbona vinyozi wengi tu.
kama uko kwenye akili yangu. kama kule paris lazma angewaadhibu wale wachora katuni mwenyewe au angewakinga kina coulibaly wasiuwawe na polis, au asingekubali jina lake litumike kuchinja watu kama kuku au asingekubali wahubiri watumie jina lake kutengeneza uponyaji feki na kukusanya pesa za maskini kwenda kununua Hammer, au TB joshua anavyodanganya waafrika na utabiri wake huku akishindwa kutabir maafa ya jengo lake lililoua mamia kwa uzembe wake. in short tunadanganywa na wajanja wachache tu juu ya uwepo wa Mungu
mkuu sijawahi kukisoma
Alshabaab= Waislam, Boko Haram=Waislam, Al Qaida= Waisalam, ISIS= Waislam. Vikundi vyote hivi ni vya kigaidi na hata siku moja sijasikia nchi za kiislam au global Islamic societies zinavilaani, wacha kufanya effort ya kupambana navyo. Halafu unasema tunautukana Uislam? Uislam unatukanwa na waislam wenyewe ukiwemo wewe.Hao niwatetee nini si dada zenu mnawavalisha upuuzi huo mnawapiga picha ili muutukane Uislam, unafikiri hatujuwi mbinu zenu za kijinga?
leo ndo umekisoma, uchafu wa watu si kwamba hakuna sabuni, maji au nguo za kuvaa, ni kuamua tu.
Alshabaab= Waislam, Boko Haram=Waislam, Al Qaida= Waisalam, ISIS= Waislam. Vikundi vyote hivi ni vya kigaidi na hata siku moja sijasikia nchi za kiislam au global Islamic societies zinavilaani, wacha kufanya effort ya kupambana navyo. Halafu unasema tunautukana Uislam? Uislam unatukanwa na waislam wenyewe ukiwemo wewe.
Umetumia vigezo gani kujua kuwa hao ni waislamu mkuu?