Dress right during Ramadhan



81080_lg.jpg

Lenny Kravitz & Lil Kim
 
Last edited by a moderator:
Naomba nikukatalie hapo uliposema kuwa ni 'unafiki', naweza kuwa sivai kwenye maadili ya kiislam miezi mingine lakini nikavaa kwenye maadili hayo kwenye Mwezi mtukufu na Mwenyezimungu kwa rehma zake akanijaalia nikawa miongoni mwa wale wavaaji wenye maadili ya kiislam baada ya Ramadhani kuisha. Nina ushaihidi wa hilo, so instead of criticizing and discouraging gals and women on doing so, you should encourage them and prey for them at the same time so that they join others in Swiratul-Mustaqiym
Agika....sijui umesoma wapi kwenye post yangu nilipo criticise na ku discourage women...lakini acha tu nikubali kwamba uwezo wa kusoma, kuelewa na kutafakari unatofautiana sana baina yetu sisi wanadamu....the only thing i said is that if islam calls for women to dress decently then they should do that AT ALL TIMES!!!!i hope this time round umenipata?
 
Back
Top Bottom