Dreams can come true

Maskini....... sijui kwanini nimejikuta namuonea huruma. Wish hard work one day his dreams will come true.

Hard work imeanza kuonekana, kama ameweza kujenga hiyo model na ikahimili upepo basi ana ubunifu na uthubutu wa hali ya juu. Hata mimi natamani hata kama hatafikia hicho kiwango basi aishie somewhere close to that...

mshana jrUmeiona chopa imepaki chini? kweli hii ni big dream mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo avatar!!!! naona avatar yako ile nyingine umeipotezea

***** mchokoe pweza binadamu hutomuwezaaaaa

Eeeeeekoootikeeeeee ...................... aluuta kontinuaaa
 
Sasa mbona hii ni ya mbibi, hafu mbibi mwenyewe duuhh

That's how I look like when you meet with Kasie face to face today. The previous one was many years back while Kasie was ..................... lady
Aaaluutaaa kontinuuaaaa................................Eeeeekoootiikeeeeee
 
Usiniambie huyu mbibi ndo alikutana na jamaa kwenye bajaji juzijuzi pale Mwenge na jamaa akapiga mechi siku hiyo hiyo
 
Usiniambie huyu mbibi ndo alikutana na jamaa kwenye bajaji juzijuzi pale Mwenge na jamaa akapiga mechi siku hiyo hiyo

Jamaa mwenyewe ndo yule anatembelea magongoo anaekaa mabiboo au yule wa kinondoni...............? mmmmmmhhhh hapana nahisi huyo atakuwa yule wa kibaha. Tatizo wako wengi na memory iko low anyway you know them all chagua wewe alikuwa yupii you can try them also sure you will enjoy the show maana maujanja yao...... unaweza kutoka na ................ mkononi

Eeeeeekoootikeeeee..............
 
Kumbe jamaaa mwenyewe ni mwanamke, ina maana we kasinde ni lesbian ama?
 
Kumbe jamaaa mwenyewe ni mwanamke, ina maana we kasinde ni lesbian ama?

Kajipange upyaaa hahahahhaaaaa

Na siku ingine usirudie tena hizi kazi waachie ma spy sio kujifanya fyoko fyoko kumchokoa pweza hutamuwezaa hujakoma tuu bado unahangaika na avatar utafumuliwa ....................................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…