Nilitaka nihack lakini baada ya kusoma baadhi ya michango ya watu nimeona bora niendelee kukomaa tu na hii level niliyofikia sasa "Division one". Ila kupata coins za kutosha ili udevelop uwanja ni changamoto kubwa huku ukikutana na team zenye wachezaji wenye uwezo mkubwa
Hatimae nimefakiwa kuhack. Lakini nimejifunza kitu kimoja cha msingi sana. Kuhack hakuna faida yoyote ile maana hakuna tena ushindani.... yaani unashinda weeeeeee.!!! Hahhhhahhh... du bora ucheze tu gemu halali