Da nimeingia hasara sana leo nilijaribu kuhack matokeo yake imeshindikana halafu mbaya zaidi gemu limejiristati sasa nipo academy division hahahhah very sad nisaidie njia bora hii yako sijui n ya kweli au magumashi nayo??Hehehe!!! Cha msingi nenda google search Dream League Soccer unlimited money. Download apk yake OBB ina mb 59 hv kama sikosei. Unaiinstall, unavyoiinstall hutakiwi kuwa na ile OG, OG unaifuta kabisa.
Ikiwa installed ukifungua itahitaji kudownload additional file ruhusu hapo itakucost mb kama 254 hv.
Baada ya hapo enjoy DLS unlimited Money.
Tumia Profile.datDa nimeingia hasara sana leo nilijaribu kuhack matokeo yake imeshindikana halafu mbaya zaidi gemu limejiristati sasa nipo academy division hahahhah very sad nisaidie njia bora hii yako sijui n ya kweli au magumashi nayo??
Shukrani, hatimaye nimeHACK
Hahahaha hahahah,, huo ndo ukweliHatimae nimefakiwa kuhack. Lakini nimejifunza kitu kimoja cha msingi sana. Kuhack hakuna faida yoyote ile maana hakuna tena ushindani.... yaani unashinda weeeeeee.!!! Hahhhhahhh... du bora ucheze tu gemu halali
Nawezaje kuweka logo ya simba maana napata shida
challenge za miezi au weekTatizo la hili game ukishawadevelop players inafika stage unakuwa unashinda tu bila kuwa na changamoto inakuwa bored!
Wanamme tunacheza Pes2020 hilo wanacheza dada zenuNi rahisi sana unachotakiwa kufanya ni kupakua file la profile.dat kupitia opera min browser baada ya kulipakua utalikuta kwenye internal storage kwenye folder la downloads. Baada ya hapo download app ya ZArchiver, kisha itumie app hiyo kucopy na kupesti file la profile.dat kwenye folder la dream league(utalikuta kwenye internal storage kwenye folder la androids) mpaka hapo utakuwa umemaliza mchezo mzima then enjoy your dream league with good players and a lot of coins(83M+ coins)
Game la kike hloKuna rafiki yangu nilimkuta na hii game akanipa nicheze.
Aisee ilinishinda mi ni mchezaji mkubwa sana wa PS2 game ya PES na FIFA ila game hii ilinishinda kwakua ilikua nikifika kwenye 18 nikitaka kuscore lazima mpira utoke nje. Halaf jamaa timu yake wote walikua miguu ya kulia. Nikawa napossess mpira vizuri ila kuscore tabu.
Nikaachana nayo.
Tehe tehe tehe! Hilo game la PES 2020 nalipata wapi? Nimetafuta kwenye playstore sjafanikiwaWanamme tunacheza Pes2020 hilo wanacheza dada zenu