Hahaha, unanifurahisha kwel adrizFene ujipange kiande wangu taarifa niliyopata sasa J4 panapo majaaliwa nitakuwa sehemu yenye utulivu na mtandao unashika vizuri sasa nimepanga nicheze huku nimeweka kitambaa machoni maana sitaki nikuaibishe sana nitakua kama mwamba hapo chini ambaye aliwahi kufanya hivyo kwenye competition ya ulengaji shabaha kwa na alishinda coz anajiamini na kutambua fika kua mpinzani wake kiande.
View attachment 2345363
Huyo jamaa kama mimi hataki madharau yeye dozi tu.
Kangaloo fanya uwe na kikosi bana, mtu aliekuwa ananipa upinzani kashakuwa kibonde wanguUzi umepoa sana. Alie online tuchangamshane
Hongera [emoji1376][emoji1376]Kipigo kikubwa zaidi cha kapa yaani nimevunja rekodi yangu mwenyewe na hii picha ya kutisha imepigwa jana sasa 5 usikuView attachment 2347319
Na hapa utasemaje, kipigo cha mbwakokoKipigo kikubwa zaidi cha kapa yaani nimevunja rekodi yangu mwenyewe na hii picha ya kutisha imepigwa jana sasa 5 usikuView attachment 2347319
We kibonde ile mechi yetu tuisogeze mbele ili umalizie kutamba mara ya mwishomwishoKipigo kikubwa zaidi cha kapa yaani nimevunja rekodi yangu mwenyewe na hii picha ya kutisha imepigwa jana sasa 5 usikuView attachment 2347319
Unakimbia match ?We kibonde ile mechi yetu tuisogeze mbele ili umalizie kutamba mara ya mwishomwisho
Au unasemaje?
Barid hamna noma, mida nikuoneUnakimbia match ?
Sitaki visingizio kama una visingizio vyako uweke kabisa maana nataka nimalize ubishi iwe mwisho kucheza na vibonde leo.Barid hamna noma, mida nikuone
Barid na kuanzia leo unipatie heshima yangu rasmi baada ya kisagoSitaki visingizio kama una visingizio vyako uweke kabisa maana nataka nimalize ubishi iwe mwisho kucheza na vibonde leo.
Oya kibonde upo?Sitaki visingizio kama una visingizio vyako uweke kabisa maana nataka nimalize ubishi iwe mwisho kucheza na vibonde leo.
Njoo chapOya kibonde upo?
Unajiamini hauna kisingizio chochote sasa niweke code ?Oya kibonde upo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1491][emoji1491][emoji1491][emoji1491][emoji1491][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]Unajiamini hauna kisingizio chochote sasa niweke code ?
Hakuna mechi haijaisha nimepata emergency.Rasmi natangaza kuwa mfalme humu
adriz ni mavi ya kuku tu
Mtoto akililia wembe mwachie umkate[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sitaki visingizio kama una visingizio vyako uweke kabisa maana nataka nimalize ubishi iwe mwisho kucheza na vibonde leo.
Hamna kitu kabisa mechi haijaisha .Mtoto akililia wembe mwachie umkate[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]