adriz de mbusii
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,786
- 37,803
Wewe jamaa hauishiwi vituko mimi sijawahi kulalamikia wewe wala yeyote humu kuwa wachezaji wangu hawana power kwani nilisemaga kwa watu wa humu jinsi mlivyo viande hata wachezaji wawe na power kama Hulk kwangu hamtoboi labda ya kwenye ligi ndio niliolalamikia coz wale tukiacha power Wana kiwango tofauti na wewe.adriz labda nikuambie tu, naona sasa imetosha, kama kufurahi umefurahi mno, umetamba vya kutosha
Kikubwa nilichokiplan tuende kwa facts na sasa hamna noma
Fene sasa nimeenda kufungua kile kitabu changu nilichopewa na babu yangu ili niichukue hii himaya rasmi
Waambie hao nduguzo kina frastruation na wengineo bwana Fene sio wa kumsogelea tena
Najua utasema hata kwenye kanga yapo ila jiepushe hii ni tahadhari
Nb/ sitaki vile visingizio eti wachezaj wako wana power huo ni utoto
Oya adriz upo?Wewe jamaa hauishiwi vituko mimi sijawahi kulalamikia wewe wala yeyote humu kuwa wachezaji wangu hawana power kwani nilisemaga kwa watu wa humu jinsi mlivyo viande hata wachezaji wawe na power kama Hulk kwangu hamtoboi labda ya kwenye ligi ndio niliolalamikia coz wale tukiacha power Wana kiwango tofauti na wewe.
Bali mimi nilikulaumu kuna na wa bluu bando upo level za kangaloo na @Frustation halafu unaonewa kwenye ligi ambapo mimi nikiwa nawachezaji kama wako sishikiki .
Njoo ujaribu kila mahali kuna mfamle mimi ndio mfamle wa humu nitakupa viande wangu wakupime uwezo kabla ya kuja kwa Baba mwenye nyumba.Humu wote naona bado mpo level za mandonga mtukaz
Nakuhitaji game moja ya kirafikiNjoo ujaribu kila mahali kuna mfamle mimi ndio mfamle wa humu nitakupa viande wangu wakupime uwezo kabla ya kuja kwa Baba mwenye nyumba.
Wewe tu ,halafu mimi sheria yangu mbili wewe kisa kiande unakimbilia moja ili ubahatishe ukimbie .Nakuhitaji game moja ya kirafiki
Kama utakuwa na mda kuanzia saa 4 usiku
Barid hamna noma, tutaruka mbiliWewe tu ,halafu mimi sheria yangu mbili wewe kisa kiande unakimbilia moja ili ubahatishe ukimbie .
Mimi nakubaliana wew kuwa mfalume wa humu je unasemaje nikupeleke group la wasp ukiwafunga na kuleNjoo ujaribu kila mahali kuna mfamle mimi ndio mfamle wa humu nitakupa viande wangu wakupime uwezo kabla ya kuja kwa Baba mwenye nyumba.
Tayari nipo grupu la Singasinga hilo naweka kiporo coz sijawaimarisha viwango wachezaji wangu ila wakifikia nyota au bluu watano tu naitazama na humo kutwaa madaraka maana nimechoka kuonea viande humu.Mimi nakubaliana wew kuwa mfalume wa humu je unasemaje nikupeleke group la wasp ukiwafunga na kule
Kumbe we nikibonde tuTayari nipo grupu la Singasinga hilo naweka kiporo coz sijawaimarisha viwango wachezaji wangu ila wakifikia nyota au bluu watano tu naitazama na humo kutwaa madaraka maana nimechoka kuonea viande humu.
Dream kuna sehemu ya kuongeza muda wa kucheza?Kumbe we nikibonde tu
Kama upo twende ukawashiwe motoNani yupo online nika mzabe kwenzi
Oya twenzetu tukakiwasheTayari nipo grupu la Singasinga hilo naweka kiporo coz sijawaimarisha viwango wachezaji wangu ila wakifikia nyota au bluu watano tu naitazama na humo kutwaa madaraka maana nimechoka kuonea viande humu.
Upo niweke code kiande wangu ?Oya twenzetu tukakiwashe
Twenzetu baba mbona mambo mengi tenaUpo niweke code kiande wangu ?
Wewe ukija huku utakuja kuaibika coz kuna Master wao ambaye ni mimi sipendi mtu atawale humu.Nani yupo online nika mzabe kwenzi
Code Delle4 chapTwenzetu baba mbona mambo mengi tena
Mtandao haupo sawa kwa hiyo hatujamaliza mkataba wetu sawa? maana usianze kutukana Mamba kabla ya kuumaliza mto.Twenzetu baba mbona mambo mengi tena