Mimi ni DLS tu , wengine sielewi kabisa . DLS ndio haina ugumu ndio maana Mimi sichezi ligi kabisa zaidi na watu online, events ,league na friend match tu.
Katamu sana unamfinya mtu anafinyika, unaenjoy kucheza. DLS naona kabisa imeizidi graphics, commentary na vingine kidogo ila hiki kigemu ni kitamu sana.