Dream League Soccer Special Thread

Fene inatakiwa uniheshimu kuanzia Leo maana wababe wako wote ambayo haujawahi kuwafunga na hawajawahi kufungwa na mtu yeyeto humu Mimi ndio nimewachapa .

Mfano Singasinga na MrJobless wote wamepoteza kwangu ,sasa nileteeni mwingine..
 
Umeona hapo sema nikasema Acha nicheze maana Baadae nalea Ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…