Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Dah kumbe ulikuja huku wakakupa vidonge vyako ndo ukafungua Uzi wa efootball
Hilo game nakushauri futa halafu omba code ya DLS upigwe msasa
Uzi nilifungua kabla sijaja huku mkuu🤣🤣🤣
Sawaa nitachukua code ya DLS, Je wewe utachujua ya eFootball 😂😂
Kuhusu kufuta game hiyo haiji tokea😂😂🏃‍♂️
 
Uzi nilifungua kabla sijaja huku mkuu
Sawaa nitachukua code ya DLS, Je wewe utachujua ya eFootball
Kuhusu kufuta game hiyo haiji tokea
Mi siwezi kudownload tena efootball nililifuta mapema Sana kuna jamaa alianzisha Uzi wa efootball Vs DLS ndo nilioodownload efootball lakini najuta kupoteza MB zangu
 
Mi siwezi kudownload tena efootball nililifuta mapema Sana kuna jamaa alianzisha Uzi wa efootball Vs DLS ndo nilioodownload efootball lakini najuta kupoteza MB zangu
Gb 2 zako 🤣🤣🤣
Sema nini fanya kitu roho inapenda.
 
Yeah asante kwa kuanzisha uzi huu na enjoy hili game, kitu ambacho kinanishinda nashindwa kupanda daraja wakati nakua mtu wa kwanza kwenye msimamo hii inakuaje?
Upgrade Uwanja Wako kaka, Ukisha Updates Tu ligi ikiisha ukiwa wa kwanza unapanda, kila Daraja Lina idadi ya Ujazo, Jitahidi kila daraja unalofika una Upgrade uwanja
 
Upgrade Uwanja Wako kaka, Ukisha Updates Tu ligi ikiisha ukiwa wa kwanza unapanda, kila Daraja Lina idadi ya Ujazo, Jitahidi kila daraja unalofika una Upgrade uwanja
Idadi ya watu inakuwa kubwa kuongezeka kadri unavyopanda daraja, ili kuendana unatakiwa kuboresha(upgrade stadium) uwanja wako. Nenda page 1 ya uzi huu kwa maelezo ya kina.
 
Back
Top Bottom