Eng ibird
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 707
- 1,025
Pumzka, hujui gameLeo nimeamka vibaya naona napata vipondo ngoja nipumzike baadae nirudi panapo majaaliwa.
Nb: Msijidanganye na ushindi

Pumzka, hujui gameLeo nimeamka vibaya naona napata vipondo ngoja nipumzike baadae nirudi panapo majaaliwa.
Nb: Msijidanganye na ushindi

Sikujua ishara inamaanisha nini ,halafu pale text ya wasap ilikuwa juuu wakati wa kuclear nikaenda wasap wakati nipo kwenye move ya goli nilipo rudi mpk kushinda kwako hawakuwa wamesimama na move ilianzia mbali hata kama hivyo ilivyopata nilikuwa nipo move ya goli.Bro nacheza fair narudsha mpira nyuma baada ya kuona mtandao kwako unasumbua, nakupa mkono unijibu km uko sawa unakula kimya nahs bado kwako unasumbua , nachoma pass kwa mchezaji wako, unaenda kushnda daaahhujacheza fair kbsView attachment 2711805
Mbna hyo ishara ni common kaka inajulkana, nkiwa nacheza na mtu friendly nkigundua mtandao unasumbua narudsha mpira nyuma alf nampa mkono mpk atakaponijbuSikujua ishara inamaanisha nini ,halafu pale text ya wasap ilikuwa juuu wakati wa kuclear nikaenda wasap wakati nipo kwenye move ya goli nilipo rudi mpk kushinda kwako hawakuwa wamesimama na move ilianzia mbali hata kama hivyo ilivyopata nilikuwa nipo move ya goli.
Ww mwanangu nae unaznguaDone

Muhimu ni mtandao tuUtapigwa nyingi usitegemee kupata kitonga kama ulivyopata sasa.
Ni kwel huko tumetoka na huko ss nilikuwa Mbaya sn na Kikos Chang cha Algerianimecheka Sana
Taarifa kwa umma
adriz atapumzika kwa siku mbili kucheza dream league hivyo asingependa kugusiwa kuhusu dream league mpaka maumivu yapoe
Source; pm
Nb/mkiwa mnatoa vichapo toeni kwa kiasi
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app

Sas c angesema km akifungwa anaumiaTaarifa kwa umma
adriz atapumzika kwa siku mbili kucheza dream league hivyo asingependa kugusiwa kuhusu dream league mpaka maumivu yapoe
Source; pm
Nb/mkiwa mnatoa vichapo toeni kwa kiasi
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app

tungepunguza idad ya magolDhid yangu smuonag ukimchezeshaYaeh Berrardi ni Forward na Miongoni mwa wachezaj naowapenda mbal nakuwa na Rates ndg lkn sometimes nikifanya Sub Yey au Son Moja wao anarud kuwa Middle
Jamani mbona napewa vipondo kama tapeli la jangidWw mwanangu nae unazngua![]()

Taarifa kwa umma
adriz atapumzika kwa siku mbili kucheza dream league hivyo asingependa kugusiwa kuhusu dream league mpaka maumivu yapoe
Source; pm
Nb/mkiwa mnatoa vichapo toeni kwa kiasi
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app

Taarifa kwa umma
adriz atapumzika kwa siku mbili kucheza dream league hivyo asingependa kugusiwa kuhusu dream league mpaka maumivu yapoe
Source; pm
Nb/mkiwa mnatoa vichapo toeni kwa kiasi
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app

Tatzo wanakuja na Maneno MengSio Kwel Berrardi ni First Eleven na Kila mech n lzm achezeDhid yangu smuonag ukimchezesha
Namuonaga son tu kakaSio Kwel Berrardi ni First Eleven na Kila mech n lzm acheze
Bhs uwenda upande wa Kulia kwako upo vzr ndy unakuta si utumii snNamuonaga son tu kaka