King nipo liziko humu nimebanwa harakati nyingi ila nitarudi kusafisha huu uzi maana nahisi umevamiwa na Masters fake nataka nije kuendelea utawala wangu wa kutoa dozi by 'parching style' soon kwani wale wa kitambo humu wanaelewa hiyo style haiachi mtu salama.