Nipo Bro
Unataka kufungwaNipo Bro
Nikimbie 2 ila ipo siku nitakukamata 2

Kauli kama hizi ziliwaingiza katika mateso mazito wenzakoNikimbie 2 ila ipo siku nitakukamata 2![]()
Tuweke saa mpk dakika ili tumkamate atakayekimbia sasa mimi niatakuja saa 11 jioni kamili mpk na dkk 10 mwisho wa kukusubiri ,ukilosa hapo ni night kuanzia saa 4 kamili mpk na dkk kimi.Code
Vikosi wengine wametuacha mno itakuwa sio fair game..Oi wadau mi na idea kwanini tusianzishe ligi...
Ili tujue mbabe Hadi kibonde....
Naomba link ya hilo la offlineHili ninali licheza mm sio la online ukitak la online pia lipo wamelito la qatar yani hilo hukucheza utasema praystation4 umeiweka kweny cm unachagua mpaka style ya mchezaji kushangilia
Ww kiande twendee nikakunyoosheTuweke saa mpk dakika ili tumkamate atakayekimbia sasa mimi niatakuja saa 11 jioni kamili mpk na dkk 10 mwisho wa kukusubiri ,ukilosa hapo ni night kuanzia saa 4 kamili mpk na dkk kimi.
Zingatia muda huo usitoke online hata kama mmoja asipokuwepo dakika kumi za kumsubiri.
Nikimbie dozC yako ipo jikoniiKauli kama hizi ziliwaingiza katika mateso mazito wenzako
Ningekuomba umfuate pm kwanza Mr adriz umuulize kilimkuta nini kwa bwana Fene baada ya kuwa na kauli za shombo sana
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Appreciate my young broOi wadau mi na idea kwanini tusianzishe ligi...
Ili tujue mbabe Hadi kibonde....
Leta codeAppreciate my young bro

6486 twende chapLeta code
Nipo now.6486 twende chap
Tumeni tokea humu.Leta code