DRC: Mlima Nyiragongo wa huko Goma waalipuka Volcano

jitombashisho

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
667
2,243
Wakazi wengi wa mji wa Goma nchini Congo wanakimbilia nchini Rwanda katika mji wa Gisenyi kujiokoa na mlipuko wa volcano inayolipuka muda huu katika mlima Nyiragongo.

Chanzo ni mimi mwenyewe nipo hapa Gisenyi.

=====

FACT: More than 3,500 DR Congo nationals have crossed to Rubavu, Rwanda seeking refuge after the volcanic eruption of Mt. Nyiragongo in Goma, DRC.

The 3,000m high volcano erupted in 1977, killing over 600 people.

It erupted again in 2002, killing 250 people, displacing 1000s.




Your browser is not able to display this video.
 
Daaaaa.., na vile Afrika huwa hatujiandai na maswala ya Uokozi pindi Majanga kama hayo yanapotokea basi hapo ni tafrani..!!!
 
Mwaka 2002 volcano ililipuka hapo na kuleta madhara makubwa katika mji wa Goma..
Takriban watu 100 walifariki, majeruhi walikuwa 470 watu karibia 30k walikosa makazi na makazi 14k yaliharibiwa kabisa..

Sema waafrika si watu wa kufanya precautions ndo maana hata kimbunga cha Jobo watu walikuwa wanaleta masihara, hivyo inawezekana watu walionywa hapo ila wakapuuza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…