DRC CONGO : yapata waziri mkuu mpya

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,277
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Joseph Kabila, hatimaye amemtangaza waziri mkuu mpya, atakayechukua nafasi ya Matata Ponyo

Uteuzi huo unakuja siku chache baada ya Matata Ponyo wa chama tawala kujiuzulu ili kutoa nafasi kwa wapinzani
Rais Kabila amemtangaza Samy Badibanga (pichani katikati) ambaye ni kiongozi kwenye bunge la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, kuwa waziri mkuu mpya wa mpito kufuatia makubaliano ya hivi karibuni yaliyotiwa saini kati ya Serikali na vyama vya upinzani nchini DRC
 
Vyama vipi kama TLP, Cheyo (kinaitwaje vile), PPT- Maendeleo !!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…