DRC CONGO KINSHASA

Malyenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
6,658
Reaction score
3,662
Wakuu kuna mwenye vumbi la DRC anipatie tafadhali. Ni pm kuna laki inakusubiri bika kuhoji.
 
wamekusikia wenye hilo vumbii aisee akili za usiku hizo
 
Hizi ndizo akili zetu watanzania ndiyo maana tunapigwa hela kila siku na mafisadi
 
Nasikia 5 zimeharalishwa rasmi?.
 
Kuna mtu yeyote ana vumbi original humu? Maana fake zimekuwa kibao
 
Papa ukuye mbele tusumbulie juu ya vumbi uko na franga ngapi nikupatie vumbi moya tu ya kabambe utapompa biee vya mingi ma sept ma dix ukuye na bibi yako nikupati kama auna na bibi shibiushi juu utabamba babibi babenyewe utapata maprobleme na basoldier bata kudelanjee ukuye na bibi yako nikupatie trois mille kijiko kimoja iko na vumbie nyingene moya ya mkasai hii ni yakurudisha franga kama unampatia bibi franga bale babibi bakujiushisha tunabaita bandumba kama una mpatie ma cent mille dollar atukurudishia mpaka franga yako hii tunaita vumbi ya kurudisha franga tunaushisha deux mille dix-huit hii ni yabiee sana unapata babibi babule kuonja bure papa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…