DRC: Aliyekuwa Mshauri wa Rais Mobutu Sese Seko kugeuka omba omba mitaani Kinshasa ni karma inamtafuna au ndio hujafa hujaumbika?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,117
49,840
Katika Hali ya kushangaza na ambayo haijatarajiwa Bwana Mutombo ambae wakati Fulani alikuwa Mshauri wa Rais wa Zamani wa DRC/Zaire ameonekana kwenye mitaa ya Jiji la Kinshasa akiwa omba omba.

View: https://twitter.com/east_facts/status/1713873680495722841?t=kMv4M9UxDcRrVwPSOTu_Ug&s=19

Swali.
Nini unadhani kimempata huyu bwana? Ni Karma au Karogwa?

Mwenzako akinyolewa na nyie Washauri wa Museveni tieni Maji.

View: https://twitter.com/east_facts/status/1713879375584600379?t=feMtLwL3Vc109TC-EeskIQ&s=19
 
Ndooo maisha ....live according to situation lkn hii habar sio currently ni ya sku mingi kama sio mwaka jana mwaka juzi mtoa post ndoo unaaamka leo..
Mwamba huyu hapa 👇
20231016_142737.jpg

Hapa Yuko kazini kitaa 👇
20231016_142746.jpg
 
Katika Hali ya kushangaza na ambayo haijatarajiwa Bwana Mutombo ambae wakati Fulani alikuwa Mshauri wa Rais wa Zamani wa DRC/Zaire ameonekana kwenye mitaa ya Jiji la Kinshasa akiwa omba omba.

View: https://twitter.com/east_facts/status/1713873680495722841?t=kMv4M9UxDcRrVwPSOTu_Ug&s=19

Swali.
Nini unadhani kimempata huyu bwana? Ni Karma au Karogwa?

Mwenzako akinyolewa na nyie Washauri wa Museveni tieni Maji.

View: https://twitter.com/east_facts/status/1713879375584600379?t=feMtLwL3Vc109TC-EeskIQ&s=19

Duuh Mu7 hapo watu 528 kwa hesabu ya harakaharaka niliyoipiga.

Hii ni hatari sio mchezo magari 400 .
 
Katika Hali ya kushangaza na ambayo haijatarajiwa Bwana Mutombo ambae wakati Fulani alikuwa Mshauri wa Rais wa Zamani wa DRC/Zaire ameonekana kwenye mitaa ya Jiji la Kinshasa akiwa omba omba.

View: https://twitter.com/east_facts/status/1713873680495722841?t=kMv4M9UxDcRrVwPSOTu_Ug&s=19

Swali.
Nini unadhani kimempata huyu bwana? Ni Karma au Karogwa?

Mwenzako akinyolewa na nyie Washauri wa Museveni tieni Maji.

View: https://twitter.com/east_facts/status/1713879375584600379?t=feMtLwL3Vc109TC-EeskIQ&s=19

Umetoa huu mfano wa Mu7 kwa bahati mbaya, au ni makusudi? Maana sijaona sababu ya kutolea mifano ya mbali, huku ile ya karibu ikiwa imejaa tele.
 
Katika Hali ya kushangaza na ambayo haijatarajiwa Bwana Mutombo ambae wakati Fulani alikuwa Mshauri wa Rais wa Zamani wa DRC/Zaire ameonekana kwenye mitaa ya Jiji la Kinshasa akiwa omba omba.

View: https://twitter.com/east_facts/status/1713873680495722841?t=kMv4M9UxDcRrVwPSOTu_Ug&s=19

Swali.
Nini unadhani kimempata huyu bwana? Ni Karma au Karogwa?

Mwenzako akinyolewa na nyie Washauri wa Museveni tieni Maji.

View: https://twitter.com/east_facts/status/1713879375584600379?t=feMtLwL3Vc109TC-EeskIQ&s=19

Kiss huyo kuna watu anawatafuta.
 
Jamaa Ni Kama alikuwa anakula tu Bata kipindi chote alichokuwa mshauri wa Mobutu Wala hakufanya investments zozote kutokana na kipato chake.

Wanasemaga Raha za ujanani Ni tabu za uzeeni.
 
Back
Top Bottom