Draw ya CAF kwa timu za Africa

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,229
116,840
Hivi kuna mtu amewahi kutazama CAF wakifanya draw kwa timu za Africa
zinazoshiriki ligi ya mabingwa wa Africa na kuombe la CAF?

Nimejiuliza hili baada ya kugundua karibu mechi zote za Tanzania na nchi za kiarabu
mechi ya kwanza lazima ianze huku kwetu na ya pili lazima iwe kwao..

je draw huwa inafanyika? au upangaji unatangazwa tu kinyemela?

kuna mtu wa kutusaidia majibu?
 
Mechi ya kwanza huchezwa nyumbani kwa timu dhaifu katika seeding, hata UEFA last 16 knockout stages mechi ya kwanza huchezwa nyumbani kwa walioshika nafasi ya pili katika kundi
 
Hapo hakuna draw bali strong timu kwa statistics hupewa upendeleo wa kuanzia ugenini na kumalizia nyumbani ndiyo hivyo ingawa siyo kwa timu zote. Mfano SC Villa wameanzia ugenini dhidi ya FAR ya Morocco nakupigwa 7-0 marudiano ni Kampala so niupendeleo tu kama wa Yanga kucheza game zote za awali za FA taifa bila kwenda mkoa hadi nusu fainaili ambayo ni home and away.

NB: Makao makuu ya CAF yako Cairo and this is football ....
 
Mechi ya kwanza huchezwa nyumbani kwa timu dhaifu katika seeding, hata UEFA last 16 knockout stages mechi ya kwanza huchezwa nyumbani kwa walioshika nafasi ya pili katika kundi
...yes;hili ndio jibu lenyewe,timu dhaifu siku zote ndio huanzia nyumbani,hata Ulaya hufanya hivyohivyo, hata mechi za raundi ya kwanza mara nyingi Yanga na Azam huanzia ugenini,huko Madagascar sijui na wapi,sababu wanacheza na vibonde!
 
...pamoja na yote,ila swali la msingi naona linabaki palepale,draw yao huwa wanaifanyia wapi?,yaani ni kwa vipi huamua timu flani na flani zikutane,huwa wanakaa chumbani au wapi?, sababu mara nyingi utaona mechi za mwisho kbl ya kufuzu kwenda kwenye makundi,lazima timu zetu zikutane na muarabu!,wakati kuna timu nyingine Africa Magharibi au Africa ya Kati,hapa sasa ndio utajua, kwa nn makao makuu ya CAF yapo Misri,
...Binafsi,huwa nahisi wanatupangia waarabu makusudi,kwa kujua sisi ni vibonde watatutoa kirahisi kwenye mashindano.!
 
Swali lako halijajibiwa ndg jibu nikwamba chama cha mpira wa miguu katika nnchi husika huandikiwa barua kua team hiyo mfano simba itacheza na tp mazembe match ya kwanza hapo kwako na ya pili congo ukifuzu hapo atamfuata liboro kwake ndio draw caf kwa club
 
Umuhimu wa draw ya wazi upo tena mkubwa sana
sio kila siku kusema tu vibonde ndo hawa na strong team ndo hizi

Hawa CAF wameshikwa na waarabu wanatumika tu kuzionea timu zingine na nchi zingine zisizo kuwa za waarabu

Jamal Malinzi ni vizuri mkaanza kudai draw ya wazi iwepo
 
ingefanyka draw ya wazi ingekuwa bora
Draw huwa inafanyika kila mwaka ,tatizo ni watanzania hatufuatilii sana mashindano ya Afrika, na vyombo vyetu vya habari havitoi kipaumbele kwenye hizo habari
 
wewe umewahi tazama hiyo draw?
kupitia tv ipi??
 
...pamoja na yote,ila swali la msingi naona linabaki palepale,draw yao huwa wanaifanyia wapi?,yaani ni kwa vipi huamua timu flani na flani zikutane,huwa wanakaa chumbani au wapi?, sababu mara nyingi utaona mechi za mwisho kbl ya kufuzu kwenda kwenye makundi,lazima timu zetu zikutane na muarabu!,wakati kuna timu nyingine Africa Magharibi au Africa ya Kati,hapa sasa ndio utajua, kwa nn makao makuu ya CAF yapo Misri,
...Binafsi,huwa nahisi wanatupangia waarabu makusudi,kwa kujua sisi ni vibonde watatutoa kirahisi kwenye mashindano.!
...pamoja na yote,ila swali la msingi naona linabaki palepale,draw yao huwa wanaifanyia wapi?,yaani ni kwa vipi huamua timu flani na flani zikutane,huwa wanakaa chumbani au wapi?, sababu mara nyingi utaona mechi za mwisho kbl ya kufuzu kwenda kwenye makundi,lazima timu zetu zikutane na muarabu!,wakati kuna timu nyingine Africa Magharibi au Africa ya Kati,hapa sasa ndio utajua, kwa nn makao makuu ya CAF yapo Misri,
...Binafsi,huwa nahisi wanatupangia waarabu makusudi,kwa kujua sisi ni vibonde watatutoa kirahisi kwenye mashindano.!
CAF wanatumia mfumo unaotumiwa na UEFA kutoa point kwa kila nchi kutokana na matokeo ya nchi na klabu kwenye mashindano yote yanayoandaliwa na CAF.Kuna baadhi ya nchi zenye point nyingi hupewa nafasi mbili ya timu za kushiriki mashindano ya klabu bingwa (Misri,Tunisia,South Africa,DR Congo,Moroco,Nigeria,Sudan,Ageria,Cameroon,Mali,Congo,Mali,Angola)
 
wewe umewahi tazama hiyo draw?
kupitia tv ipi??
NO,binafsi sina interest na hayo mashindano but nimewahi kusoma kwenye website ya CAF.Waafrika tunafuatilia sana mashindano ya nje kuliko yetu ndio maana hatuyapi kipaumbele
 
CAF wanatumia mfumo unaotumiwa na UEFA kutoa point kwa kila nchi kutokana na matokeo ya nchi na klabu kwenye mashindano yote yanayoandaliwa na CAF.Kuna baadhi ya nchi zenye point nyingi hupewa nafasi mbili ya timu za kushiriki mashindano ya klabu bingwa (Misri,Tunisia,South Africa,DR Congo,Moroco,Nigeria,Sudan,Ageria,Cameroon,Mali,Congo,Mali,Angola)
...shida hapa ni draw; huwa wanaifanyia wapi?,kwanini tuletewe jina la muarabu kila mwaka,hayo majina hupatikana wapi/vipi?
 
Back
Top Bottom