galus saanane
Member
- Sep 3, 2011
- 11
- 2
Mimi naona kama WANAIGIZA... kuzomea/ kuropoka OVYO / kutoka toka NJE OVYO/
kuzunguka zunguka Na KITI mda wote OVYO/
kula KALAMU/
hivi iyo ndio suluhisho ya hoja zinazofukiwa??
Wanaotetea CHAMA na sio waTANZANIA..
Inakera sana na ni aibu kutumia madaraka yako kukandamiza hoja za wengine!
Wengine hawana hoja wanabaki kutukanana./
ndio BUNGE TUKUFU kweli ??