philipophilipo
Member
- May 16, 2020
- 88
- 95
Asante mkuuKufanya vizuri Sio kua mkali Kendrick huwez mpa bato na Drake utakua hueshim mziki wa hipapu Drake muuza sura tu japo anajua kwa kias chake Ila lamaa level zake yupo na kina Mick Mill eminem.tupack .na wengine kadhaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mauzo sio sababu ya kuwa mkali?
Lkn mauzo sio sababu yakuwa mkaliKufanya vizuri Sio kua mkali Kendrick huwez mpa bato na Drake utakua hueshim mziki wa hipapu Drake muuza sura tu japo anajua kwa kias chake Ila lamaa level zake yupo na kina Mick Mill eminem.tupack .na wengine kadhaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah kiasi namskilizaga.
Kama kuna ukweli hiviHv n kweli bidhaa isiyo na ubora inaweza uzika kuliko ile yenye ubora...?
inshort naona kendrik ni bora ila Drake ni zaidi
Kwanini
Hv n kweli bidhaa isiyo na ubora inaweza uzika kuliko ile yenye ubora...?
inshort naona kendrik ni bora ila Drake ni zaidi
sema kingereza kingi kk lkn nimepata kituNikiwa fan wa Drake since day one enzi za Room for Improvement mpaka hii ya juzi Dark Lane Demo Tapes na pia ni fan wa Kendrick since anaitwa K.Dot, Section 8 mpaka DAMN.
Tofauti kubwa ya Drake na Kendrick ni quality ya music. Kenny since naanza kumsikiliza anafanya concise rap/hip hop. Wadau wa hip hop mtakua mmenisoma the guy anakaza unapata burudani na knowledge mfano kama ulisikiliza To Pimp a Butterfly utanielewa.
Drake mwanzoni alikua anatoa ngoma concise to some degree ila tangu If You're Reading this Its Too Late imekua sio priority tena kuanzia Views mpaka Scorpion. Kwa kifupi amepoteza fan base ya hip hop na kugain wengine weeengi in the process, INGAWA amesema album yake itakayotoka summer itakua concise so lets wait and see.
Muziki wa Drake upo easy to digest na ana target audience kubwa ndo maana linapokuja swala la mafanikio ya kimziki as in sales, charts, awards Drake yupo juu ila linapokuja swala la impact katika jamii wa Kendrick upo levels za wa kina 2Pac, Nas, Jay Z etc. in short upo juu.
Drake is the biggest artist in the rap game ila Kenny ni Best rapper.
I enjoy music wa both so its all good.
Hv n kweli bidhaa isiyo na ubora inaweza uzika kuliko ile yenye ubora...?
inshort naona kendrik ni bora ila Drake ni zaidi
Pamoja mkuu.sema kingereza kingi kk lkn nimepata kitu
Una group la Muziki whtsap kaka?Pamoja mkuu.