DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

Ukitaka kuikariri cheza kwenye dalmax two players uku unafuatisha miguu yote kwenye video
 
habari zenu wadau wa draft tz.
tunaomba kwa anaowafahamu mabingwa wa draft na username zao kule playok atusaidie kututajia ili tutakapowaona wakicheza tujue ni nani anacheza na nani kwamajina yao halisia au kwa umaarufu wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…