Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,908
- 2,564
Katika kupima kipaji cha mtu watu hawaangalii kipaji chako bali watakuhukumu kwa matokeo yake unayatoa wengi wana vipaji lakini matokeo zero unadhani messi au ronaldo wana uwezo mkubwa kushinda gaucho na zidane hapana ila messi na ronaldo wameleta matokeo ambayo ni magumu kutokea that's why wanaonekana bora kwa kizazi hikiKwangu mm ni tofauti kabisa Sisco wakati anaingia Kwa watu huru bingwa ni noel..
Ila kma unavyomjua nduli Kuna kipindi hataki mechi kabisa analitema draft, noel nae akienda njombe anakua mnyonge akirud dar..
Sisco ni mchezaji anaepoteza mda kweny madanali yani asubui adi usiku akibadilisha pool kidgo..
Kwaiyo mara nyingi Sisco anawasaidia kina noel, nduli kuwapa current copy..
Ila kiukwel bingwa wa draft Tanzania bila kumeza macopy kusumbuka,,yani akili nyingi ni NOEL NAMALOE a very big talented guy..sema ndo nae anapata shida mpka arudi dar kula copy kidgo kino..
playok unatumia account gani nije nikufunge?Ninacho kuambieni ni cha kweli huyo mkulima usikute hata draft ajui kucheza ila anatumia programu za simu au komputa za draft ila mimi aniwezi hata akitumia hiyo mbinu nimecheza madraft magumu yote ya kompyuta
na sisi tulio mbali na hao mabingwa tunaomba tuzishuhudie mechi zao za mara kwa mara.Noma sana hiyo mechi itakata ubishi wa nani mkali japo Sisco anaonekana kushinda mapambano mengi
Ila kitendo cha kukubali kipigo cha bao 3 kutoka kwa Mkulima ni kama kilimvua vyeo
Mi nitakuwa mshabiki wa Ronaldo
Mechi lini na itapigwa mtandaoni au face to face?
Enheeeee.......Mfumo: Ngoma 24 - Omary John + tege kumi za mzee Ngapu
Kwa jinsi nilivyomuona Ronaldo jana akicheza na MkulimaNoel na Nduli hakuna anaeweza kumzuia CR7 labda sisqo
Wakicheza kawaida hawafunganiEnheeeee.......
hiki ndio ninachokiongelea....
KWA NINI wanapangiana kopi za kucheza ???????
Noel naskia ni mwalimu huko NjombeKwangu mm ni tofauti kabisa Sisco wakati anaingia Kwa watu huru bingwa ni noel..
Ila kma unavyomjua nduli Kuna kipindi hataki mechi kabisa analitema draft, noel nae akienda njombe anakua mnyonge akirud dar..
Sisco ni mchezaji anaepoteza mda kweny madanali yani asubui adi usiku akibadilisha pool kidgo..
Kwaiyo mara nyingi Sisco anawasaidia kina noel, nduli kuwapa current copy..
Ila kiukwel bingwa wa draft Tanzania bila kumeza macopy kusumbuka,,yani akili nyingi ni NOEL NAMALOE a very big talented guy..sema ndo nae anapata shida mpka arudi dar kula copy kidgo kino..
Tatizo madraft yao yanachukua muda mrefu yani kama ni streaming basi ni masaa kibaona sisi tulio mbali na hao mabingwa tunaomba tuzishuhudie mechi zao za mara kwa mara.
itapendeza zikiwa zinapigwa online. ili online kusiwe na hila, kuwekwe limit ya dakika ambazo zitambana mshindani kufanya udanganyifu.
itanoga sana
Wakicheza kawaida hawafungani
Ukitaka utumie Dalmax vizuri mwanzoni zitwist hizi kopi za kawaida usicheze walivyozoea. Halafu si kila kete inayopendekeza kucheza uicheze. Angalia pale chini kulia hiyo kete ina nguvu kiasi gani.Dalmax mbona Linapigwa SUTI kila Siku na linakuwa 100%
Gemu za kompyuta zipo nyingi unaweza kuzishindanisha ukajua lipi madhubuti acha ubishi mnachezewa akiliSasa anatumia program Gan hiyo,
Maana Kama Dalmax watu wanalibutua hata Sare halipati
Kuna tofauti kati ya Bingwa na kujuaOKay....
wakicheza kawaida hawafungani...
kwa hiyo hizo kopi ambazo unalazimishwa kucheza zinamweka kwenye disadvantage nani, bingwa au underdog ???
Kama zinamweka bingwa kwenye disadvantage kwa nini unanilazimisha mimi kibonde nikuweke wewe kwenye disadvantage ??? Kuna jambo hapo. That should be my choice!
Au, kama hiyo kopi unayolazimisha tucheze inaniweka mimi kibonde kwenye disadvantage basi the game is rigged, it is a fraud. Ni karata tatu
Hatupaswi kulazimishwa kutumia kopi anazotaka bingwa.
Hata mm jana nimeshangaa mkulima alikuwa anasakwa yaan lile lilikuwa linaitwa sako la nyani ngedere na kima huponi yaanKwa jinsi nilivyomuona Ronaldo jana akicheza na Mkulima
Nasema huyo Sisco sioni atapotokea kwenye hiyo mechi, kwasababu nimeshuhudia magemu mengi ambayo Mkulima alikuwa akitafuta sare kujinusuru
Wakati alivyocheza na Sisco hakupata ugumu huo
Dalmax program ya kawaida ukienda kwa mkulima anakupiga kama mbwa unadhani hao wakina sisqo au Noel hawaijui dalmax na pia nakuhakikishia hata yule Noel au CR7 AU SISQO anakupiga na dalmax yako mfano dalmax akianza major asilimia 100 anafungwaIle game ya jana ilichezwa kihuni. Kuna muda nilifungua Dalmax. Kwanza Cr7 kila baada ya game lazima aondoke. Game za online si za kuwekea watu pesa sababu uhuni ni mwingi. Hata mimi nisingefungwa. Dalmax linakuelekeza kila kete unayotakiwa kucheza.
Huyo anasema kitu hatendi hata mm nimemuambia twende online tukakukague uwezo wako kimya hadi nowplayok unatumia account gani nije nikufunge?
,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo anasema kitu hatendi hata mm nimemuambia twende online tukakukague uwezo wako kimya hadi now
Uzi umenoga!Namuomba mtu mmoja kule online draft, jina Nizzle
Nataka tupimane ubavu kidogo